Liverpool2005
Member
- Jul 20, 2011
- 43
- 39
No siku ya pili Leo naona kimya bila Maelezo toka kwa wahusika ni nini kimetokea. Jana walihairisha morogoro bila kutoa sababu na Leo mpaka dakika hivi huku morogoro naona kimya. Wahusika Makene mtujuze tumeshavaa sare teyari tangu juzi.