Jinsi watu watakavyokuwa wakitema nyongo, matusi, kejeli, tuhuma za kweli + uongo, vijembe, ngumi za mashabiki wa vyama...walahi nawaambieni kuna mtu hataweza kuhimili kuyasikia hayo.
Jingine kuna upande utakuwa na mafuriko ya watu kwenye kampeni na upande mwingine mambo yatadorola kabisa mpaka wasombelee watu na mafuso ili kujaza uwanja. Upande huo utapanic na kuanza kuleta tilalila za hapa na pale.
Wapinzani kaeni chonjo
Sent using Jamii Forums mobile app
watanzania wanapenda sana amani. hakuna wa kutuchonganisha na vyama vyetu. tatizo kuu la tanzania ni CCM. ndio maana ninaamini kuwa siku ikiondoka madarakani itafutwa na mali zao zote zitarudishwa kwa wananchi.Jinsi watu watakavyokuwa wakitema nyongo, matusi, kejeli, tuhuma za kweli + uongo, vijembe, ngumi za mashabiki wa vyama...walahi nawaambieni kuna mtu hataweza kuhimili kuyasikia hayo.
Jingine kuna upande utakuwa na mafuriko ya watu kwenye kampeni na upande mwingine mambo yatadorola kabisa mpaka wasombelee watu na mafuso ili kujaza uwanja. Upande huo utapanic na kuanza kuleta tilalila za hapa na pale.
Wapinzani kaeni chonjo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumejipanga kudocument kila kitu ili EU ipate inachokitaka ikibidi Tume ya Uchaguzi na viongozi wawekewe vikwazoChaguzi ndogo zimethibitisha kwamba ushindi wa goli la mkono ni rahisi kwa kutumia wakurugenzi "wazalendo" wa CCM
Kukiwa na mpango wa ukweli mambo yafuatayo yatatokea wapiga kura wataongezeka maradufu na serikali itaondolewa kwa kura. Watu wengi wamekosa imani na mfumo wa uchaguzi uliopo na hawatapopoteza muda wao kushirikiTumejipanga kudocument kila kitu ili EU ipate inachokitaka ikibidi Tume ya Uchaguzi na viongozi wawekewe vikwazo
Na ndio lengo uchaguzi ujao No FearKukiwa na mpango wa ukweli mambo yafuatayo yatatokea wapiga kura wataongezeka maradufu na serikali itaondolewa kwa kura. Watu wengi wamekosa imani na mfumo wa uchaguzi uliopo na hawatapopoteza muda wao kushiriki
How has it help?? Kunanamna matokeo yanabadilika machoni mwa wapiga kura hadi inashangazaNi uchaguzi utakaotupiwa jicho la karibu na wadau wa demokrasia duniani kote.
Abracadabra!😀kama kukiwepo na gross inconsistencies, wananchi watapinga.How has it help?? Kunanamna matokeo yanabadilika machoni mwa wapiga kura hadi inashangaza
Unawazungumzia wananchi wa nchi gani? Kenya??? Hawa ambaomgombea wao anafungiwa mlango na mkurugenzi asirudishe fomu na inakua poa????Abracadabra!😀kama kukiwepo na gross inconsistencies, wananchi watapinga.