Kampeni za uchaguzi wa wabunge na rais 2020 zitasababisha wapinzani wengi kukamatwa na kufungwa.

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,448
2,000
Jinsi watu watakavyokuwa wakitema nyongo, matusi, kejeli, tuhuma za kweli + uongo, vijembe, ngumi za mashabiki wa vyama...walahi nawaambieni kuna mtu hataweza kuhimili kuyasikia hayo.
Jingine kuna upande utakuwa na mafuriko ya watu kwenye kampeni na upande mwingine mambo yatadorola kabisa mpaka wasombelee watu na mafuso ili kujaza uwanja. Upande huo utapanic na kuanza kuleta tilalila za hapa na pale.
Wapinzani kaeni chonjo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndalama

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
8,793
2,000
Huo wakati kwa hofu ya kura huwa hakamatwi mtu sanasana huwa wanazuia viwanja
Jinsi watu watakavyokuwa wakitema nyongo, matusi, kejeli, tuhuma za kweli + uongo, vijembe, ngumi za mashabiki wa vyama...walahi nawaambieni kuna mtu hataweza kuhimili kuyasikia hayo.
Jingine kuna upande utakuwa na mafuriko ya watu kwenye kampeni na upande mwingine mambo yatadorola kabisa mpaka wasombelee watu na mafuso ili kujaza uwanja. Upande huo utapanic na kuanza kuleta tilalila za hapa na pale.
Wapinzani kaeni chonjo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000

watanzania wanapenda sana amani. hakuna wa kutuchonganisha na vyama vyetu. tatizo kuu la tanzania ni CCM. ndio maana ninaamini kuwa siku ikiondoka madarakani itafutwa na mali zao zote zitarudishwa kwa wananchi.
 
IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,095
2,000
Chaguzi ndogo zimethibitisha kwamba ushindi wa goli la mkono ni rahisi kwa kutumia wakurugenzi "wazalendo" wa CCM
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
23,251

Tumejipanga kudocument kila kitu ili EU ipate inachokitaka ikibidi Tume ya Uchaguzi na viongozi wawekewe vikwazo
 
IPECACUANHA

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
3,095
2,000
Tumejipanga kudocument kila kitu ili EU ipate inachokitaka ikibidi Tume ya Uchaguzi na viongozi wawekewe vikwazo
Kukiwa na mpango wa ukweli mambo yafuatayo yatatokea wapiga kura wataongezeka maradufu na serikali itaondolewa kwa kura. Watu wengi wamekosa imani na mfumo wa uchaguzi uliopo na hawatapopoteza muda wao kushiriki
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
23,251
2,000
Kukiwa na mpango wa ukweli mambo yafuatayo yatatokea wapiga kura wataongezeka maradufu na serikali itaondolewa kwa kura. Watu wengi wamekosa imani na mfumo wa uchaguzi uliopo na hawatapopoteza muda wao kushiriki
Na ndio lengo uchaguzi ujao No Fear
 
gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,414
2,000
CCM hawapendi kuambiwa ukweli,ila viongozi wao wanadai kuwa msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,090
2,000
Ni uchaguzi utakaotupiwa jicho la karibu na wadau wa demokrasia duniani kote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom