COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Jinsi watu watakavyokuwa wakitema nyongo, matusi, kejeli, tuhuma za kweli + uongo, vijembe, ngumi za mashabiki wa vyama...walahi nawaambieni kuna mtu hataweza kuhimili kuyasikia hayo.
Jingine kuna upande utakuwa na mafuriko ya watu kwenye kampeni na upande mwingine mambo yatadorola kabisa mpaka wasombelee watu na mafuso ili kujaza uwanja. Upande huo utapanic na kuanza kuleta tilalila za hapa na pale.
Wapinzani kaeni chonjo
Sent using Jamii Forums mobile app