Kampeni za jk manyoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za jk manyoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by urasa, Oct 3, 2010.

 1. u

  urasa JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu mkutano,hapa vijana wanawatukana wenzao kwa kukubali kuvaa fulana za bure na kugeuka mabango ya matangazo,nitawajulisha zaidi
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watajaa tuu we ngoja malori na mabasi yanaenda kuwasomba
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Akiambiwa hakuna watu haji huyoooooooooooo. Polisi wapo? Meaning mkuu wa mapolisi wa hapo.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwani nanhutubia saa ngapi?? kama ni saaa tisa kuna haja ya kuwahi???
   
 5. u

  urasa JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anapaswa kuanza saa 6 na nusu bado hakuna watu,kuna wachache sana walio ktk fulana za kijani na njano,
   
 6. m

  muheza2007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Mkutano wa JK hata siku moja hauwezi kuhudhuriwa na watu chini ya 1000. Hata kama hakuna wapenzi wa CCM, bado watu watajaa kwenda kushangaa shangaa tu.

  Tuletee picha ya hao watu 100.
   
 7. u

  urasa JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Helkopta inazunguka juu ila bado uwanja hakuna watu
   
 8. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Malori na mabasi yako njiani. Vikundi nya ngoma vitawasili hapo muda si mrefu utaona watu watakavyojaa
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kinachonishangaza mimi ni kwanini unakampenia watu ambao tayari wana tisheti za CCM? ningefarijika zaidi kuona watu kwenye mikutano ya kampeni za CCM wana nguo za upinzani kwani dhana nzima ya kampeni ni kuvuta ambao wako uande wa pili wa shilingi

  eniwei, kwa CCM na tanzania kampeni ni sehemu nyingine ya kuwajua akina masanja
   
 10. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We Muheza2007 humwamini huyu Urasa? Hata hivyo camera sio nywele hata wengine wana vipara bila nywele. Kama hana camera ataletaje hizo picha?
   
 11. u

  urasa JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vikundi vya ngoma vya wakina mama ndani ya khanga za ccm vinaingia hapa,hadi huruma guyz,kazi ipo
   
 12. u

  urasa JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana ccm wanacheza ngoma hapa
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Nimemtafuta mchizi wangu yupo hapo MANYONI anasema JK ataingia saa nane na sio sita na nusu, nadhani malori bado ayajaja kutoka vijijini huko.
  Nime muomba anitafutie picha hope tutapata.
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naam more news brother. Hope atapitiliza
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  safi
   
 16. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  wakina Masnja hawajaja? Unacheza na kuwaona ze comedy live?
   
 17. u

  urasa JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli atachelewa na kwa sasa nimepata taarifa anamalizia hotuba ikungu jimbo la singida magharibi kwa tundu lisu ndio aje hapa,hakuna watu hapa bado na msisimko ni mdogo sana,huko kwa lisu kuna upinzani mkubwa sana
   
 18. u

  urasa JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lori la kwanza linaingia hapa likiwa limeshona watu
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Yesu!!!
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naam ndo staili ya ccm hiyo. Basi ukiona hivyo dc keshachota fungu toka kwenye mfuko wa maendeleo akodishe magari ya kuleta watu. Basi nalo litaingia punde tu. Hope na siku ya kura watatuma malori yabebe watu wakapige kura! Raha tupu!
   
Loading...