Kampeni za CCM

kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,772
4,922
Kama vile mfamaji heshi kutapatapa CCM wameamua kumtumia mama Maria Nyerere katika kampeni zake.

Nadhani si sahihi,yeye ni kama mama wa taifa si vyema kumjengea uhasama na sehemu ya wa Tanzania.

Wasimuharibie heshima yake.
 
na yeye mwenye kakubali kuvunjiwa heshima afadhali angekaa zake kimya kama marais wa Zanzibar waliomaliza muda wao
 
Back
Top Bottom