Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
Eti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi
Cleverbright at your state!Siku zingine jitahidi uwe unatumia vyema Akili zako hasa ukija hapa The Home of Great Thinkers tafadhali. Hilo ambalo unadhani limefanywa tu na huo Mtandao ambalo umekuja nalo kwa Mhemko hapa pia huwa linafanya hata na Mitandao mingine mikubwa kama Tigo na Airtel na Mifano yake ipo wazi isipokuwa tatizo Kubwa la Watanzania si Wafuatiliaji wazuri wa mambo, hamjui Kutunza Kumbukumbu na ni Watu wanaopenda Kukurupuka na si ajabu ndiyo maana huko nje tunadharaulika mno na waliotuzidi Akili.
Ungekuwa unajua ya kwamba haya Makampuni yote ya Simu nchini yapo chini ya Serikali na kwa Msaada mkubwa wa Kiudhibiti kutoka TCRA wala usingekuja na huu Uzi wako ulio na Hoja Nyepesi kama siyo ya Kipuuzi. Halafu msisahau ya kwamba kuna hatua zingine zinaweza zikawa zinachukuliwa dhidi ya Mtu kwa ajili ya Usalama wa Taifa letu na hata Sisi Wananchi wake ila bahati mbaya sasa hivi kila Jambo la Muundo huo kama uliomtokea huyo Mtu likitokea haraka sana lawama zenu mnazielekeza katika Mamlaka ila huwa hamtaki Kujua ya upande wa Pili.
Namalizia tu kwa Kukuambia kuwa KUNA UNAYOYAJUA NA YALE USIYOYAJUA na msije Kuona Watu wanakurupuka tu.
Mi nawaomba kwa umoja kabisa tuanze kampeni hii ya kukataa kutumia vodacom labda akili itawarejea, haiwezekani sisi kama wateja siri zetu zinatolewa pasipo ruhusa ya mteja na kama haitoshi unafungiwa kupiga simu pasipo kutaarifiwa na kubwa zaidi tabia yao ya kupunguza vifurushi. Tuseme sasa inatosha voda wameota mapembe wakati sisi ndo tumewafikisha hapo.
# TuikataeVoda
# HawatufaiVoda
mnafikiri kwa kutumia matumbo mnajulikanaga tuEti Tuikatae voda wewe na nani
Na mtandao upi Utumie labda hama nchi
Ukafanye kinyume na utaratibu lakini Hakuna sehemu utakimbilia ukawa salama kama wewe ni mvunjifu wa sheria na taratibu wa Nchi