kampeni ya kimandolu

kampeni ya kimandolu

Nilikuwa na mwenyekiti mtaa wa Tindigan(jina nalihifadhi) aliyetaka kugombea kwa ccm,aliniambia CCM maji yamezidi unga,mama analeta ukabila kiasi kwamba wanashindwa kumsaidia!aliniambia Chadema njia ni nyeupe maana hawawezi kumsaidia mtu anaye watenga wengine na kuleta ukabila

Sijakuelewa
 
Kamanda Mungi CCM haipati hata kata moja!

Arushaone,mimi hii mipango ya chama kimoja kutaka kushinda viti vyooooote vinavyogombewa naiona kama ni undemocratic.si mipango mizuri kwa siasa endelevu na zenye tija sababu ni hurka ya kutokutaka kuhojiwa.naomba tuwe na mipango moderate,kwa apo arusha mpange kupata kata tatu na ccm moja.ila sio zooote kama unavyosema hapa.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu makamanda mimi ni naibu meneja kampeni kata yakimandolu chadema tunashinda kwa asilimia 85 ccm wameleta mawaziri w medeye w mwandi kina nchemba nawengine wengi niko nakamanda magoma ebana tunawakimbiza mpaka wamekubali yesu nibwana hawa viongozi wa serikali tarehe 16 jioni ukipiga cmu utasikia namba unayopiga haipatikani wako airport wanarudi dar mwigulu arusha sio iramba sisi ni watoto wa a town tunakula ccm tunalala chadema arusha mjini hkna ccm huku mgombea udiwani wa chadema kata yakimandolu mchungaji nelson elshadai ni chaguo la mungu ametumwa kuwakomboa watu wakimandolu alutan contunua makamanda ccm wameishiwa sera matusi kwenye majukwaa viongozi wa dini ombeeni ccm inakiuka maadili ya baba wa taifa mungu ibariki chadema

Mkuu cha msingi ni kuhamasisha hiyo siku ikifika wajitokeze kwa wingi kupiga kura maana kuna wengine wanahudhururia mikutano yote ya kampeni lakini siku ya kupiga kura hawaendi kupiga kura. Hao wanawaangusha sana makamanda...
 
Hongereni makamanda...
Duhh mkuu umetiririka tiriiiiii bila bureki khaa...Ila somo nimelielewa..
 
Arushaone,mimi hii mipango ya chama kimoja kutaka kushinda viti vyooooote vinavyogombewa naiona kama ni undemocratic.si mipango mizuri kwa siasa endelevu na zenye tija sababu ni hurka ya kutokutaka kuhojiwa.naomba tuwe na mipango moderate,kwa apo arusha mpange kupata kata tatu na ccm moja.ila sio zooote kama unavyosema hapa.

Mkuu Sangarara, ushindi wa kata zote nne una maana kubwa sana kwa chadema. Ni ushindi utakaoisaidia kuondoa umeya wa kichina.
Ili hilo litekelezwe ni lazima kwanza tushinde kata zote
 
Last edited by a moderator:
Take it from me, ccm kata 2 ni zao (Makuyuni na Kaloleni), chadema kata 3.
 
Ndugu zangu makamanda mimi ni naibu meneja kampeni kata yakimandolu chadema tunashinda kwa asilimia 85 ccm wameleta mawaziri w medeye w mwandi kina nchemba nawengine wengi niko nakamanda magoma ebana tunawakimbiza mpaka wamekubali yesu nibwana hawa viongozi wa serikali tarehe 16 jioni ukipiga cmu utasikia namba unayopiga haipatikani wako airport wanarudi dar mwigulu arusha sio iramba sisi ni watoto wa a town tunakula ccm tunalala chadema arusha mjini hkna ccm huku mgombea udiwani wa chadema kata yakimandolu mchungaji nelson elshadai ni chaguo la mungu ametumwa kuwakomboa watu wakimandolu alutan contunua makamanda ccm wameishiwa sera matusi kwenye majukwaa viongozi wa dini ombeeni ccm inakiuka maadili ya baba wa taifa mungu ibariki chadema

Mkuu cha msingi ni kuhamasisha hiyo siku ikifika wajitokeze kwa wingi kupiga kura maana kuna wengine wanahudhururia mikutano yote ya kampeni lakini siku ya kupiga kura hawaendi kupiga kura. Hao wanawaangusha sana makamanda...
 
Nilikuwa na mwenyekiti mtaa wa Tindigan(jina nalihifadhi) aliyetaka kugombea kwa ccm,aliniambia CCM maji yamezidi unga,mama analeta ukabila kiasi kwamba wanashindwa kumsaidia!aliniambia Chadema njia ni nyeupe maana hawawezi kumsaidia mtu anaye watenga wengine na kuleta ukabila

Edina hakufanya homework yake vizuri kwani angefanya ka utafiti tu angegundua wakazi wa Kimandolu 50% ni kutoka mikoa mingine ilhali 50% iliyobaki ni wa arusha ambao 20% ni watoto, 40% ni watu wa makamo, 25% ni wazee na waliobaki ni vijana ambao 70% yao hawana vitambulisha vya mpiga kura.

Kwa upande wa wahamiaji 90% ni watu wa makamo na vijana na 8% ni watoto na 2% ni wazee. Wahamiaji 95% wana vitambulisho vya kupigia Kura. Hii ni dhahiri kuwa hata kama Wa arusha woote watampigia Edna Kura atapata chini chini ya asilimia 20 ya kura zoote. Kazi kwake kama ataamua reverse campaigh wakati ni tooo tooo late
 
Kwa hiyo ule umbeya uliovuma kwamba , Mwigulu , Mtella na yule Mdada ' SHUJAA ' Juliana kuivunjavunja CDM Arusha tuufanyeje ?
 
habari yenu itajulikana jumapili, jipeni matumaini, maana mtashangaa
 
Utasikia Mwaka 2010 Chadema ili pata 2% kata ya Kimandolu,uchaguzi huu imepata 17% hivyo imejitahidi! Story kama hizi hazitakiwi tena,msilete visingizio vya Asilimia!
Baada ya Matokeo kutoka tarehe 16 june jioni msije na mambo yenu yale ya Chadema imeongeza kura kwa asilimia kadhaa msilete hapa JF!
Usiwe mgeni wa Arusha weye sidhani kama unajua nani alishinda kata ya Kimandolu uchaguzi uliopita.
 
Mkuu Sangarara, ushindi wa kata zote nne una maana kubwa sana kwa chadema. Ni ushindi utakaoisaidia kuondoa umeya wa kichina.
Ili hilo litekelezwe ni lazima kwanza tushinde kata zote
Kwa sasa nawaunga mkono, lakini matamanio hayo yakipita muishie hapo, uchaguzi mwingine muweke malengo ya kushinda 50% tunahitaji zaidi ushindani wa hoja wakati wa michakato ya kupitisha maamuzi badala ya ushindani wa kutaka kupata fursa ya kupitisha maamuzi bila kupingwa, kama tunavyoona bungeni sasa.

Nawatakia Kila la kheri
 
Arushaone,mimi hii mipango ya chama kimoja kutaka kushinda viti vyooooote vinavyogombewa naiona kama ni undemocratic.si mipango mizuri kwa siasa endelevu na zenye tija sababu ni hurka ya kutokutaka kuhojiwa.naomba tuwe na mipango moderate,kwa apo arusha mpange kupata kata tatu na ccm moja.ila sio zooote kama unavyosema hapa.
What such a democracy, kugawana majimbo au viti ni demokrasia ya wapi get it or lose it hiyo ndiyo demokrasi.
 
Mkuu Sangarara, ushindi wa kata zote nne una maana kubwa sana kwa chadema. Ni ushindi utakaoisaidia kuondoa umeya wa kichina.
Ili hilo litekelezwe ni lazima kwanza tushinde kata zote
Mkuu Mungi nikwambie ushindi hautanoga bila kuzikomba kata zote nne za Arusha, kwangu mimi CCM hata wapate kata zote zingine ila wasiambulie kata hata moja ya Arusha.

Ubingwa wa Yanga hautakamilika bila kumchinja mnyama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom