Nyamayao mimi ni mpiga kura wa kata ya Kimandolu, na nimeshaenda kuhakiki jina langu leo.
Habari za Moshi bibie!
What such a democracy, kugawana majimbo au viti ni demokrasia ya wapi get it or lose it hiyo ndiyo demokrasi.
haaaa,mbavu zangu mkuu!Arushaone,mimi hii mipango ya chama kimoja kutaka kushinda viti vyooooote vinavyogombewa naiona kama ni undemocratic.si mipango mizuri kwa siasa endelevu na zenye tija sababu ni hurka ya kutokutaka kuhojiwa.naomba tuwe na mipango moderate,kwa apo arusha mpange kupata kata tatu na ccm moja.ila sio zooote kama unavyosema hapa.
nipo na wewe mji huu huu, moshi tunaenda kutambika na kurudi kwenye huu mji, Lol, mie kaloleni pale kwa mtendaji, jumapili nimemwambia shem wako tusamehe kanisa tukampitishe kessy aka mzee wa nukta pale, halafu nilikuwa nimesahau ishu ya kwenda kuhakiki, ntalifanya kesho.
Kweli kabisaaaa namshanga mchungaji hivi kwa nni kanisa la betheli walinfkuza
Katika kata ngumu chadema kushinda ni hii hapa. Mbona ukweli utajulikana tarehe 16. Watu wameona wamedharaulika kuletewa mpiga kura wa rombo aje agombee kimandolu. Wakati kuna vijana kimandolu waliosoma na wenye uwezo . Huyu mchg hata mipaka ya kimandolu haijui , matatizo ya wanakimandolu ndio atayajua ? Ni dharau kubwa sana watu wa kimandolu wamefanyiwa. Tukutane kwenye sanduku la kura jumapili tuwekeane heshima.
Huo ukabila ndio unakuponzeni,mtanzania anaruhusia kugombea popote mzee laizer aliyekuwa uhamiaji aliwahawi kuwa diwani wa moshi mjini.inamaana wachaga hakuwepo?tunacho mkata edna ni kuwadi wa gidion na peter mafere.
Kweli kabisaaaa namshanga mchungaji hivi kwa nni kanisa la betheli walinfkuza
haaaa,mbavu zangu mkuu!