Hii kampeni inalenga kuharibu misingi ya ndoa na familia. Watoto watakaozaliwa na kulelewa na mzazi mmoja wa kike nao watakua na hawataona umuhimu wa kuo/kulewa. Nao watazaa watoto type yao wasielewa umuhimu wa ndoa. Matokeo yake ndiyo mapenzi ya jinsia moja kushamiri, ni hatari sana kwa malezi na makuzi ya watoto bila wazazi wote wawili. Wapo walioamua kwa utashi wao kuzaa na mwanaume yeyote wanayemuhitaji kuwapa mimba lakini hawataki kuishi na mwanaume wanataka kuwa huru bila mume rasmi, ndiyo hawa ma singo maza waliojitakia kuishi hivyo