inasomwa dua, Dua ya kiislam ndo imekwisha inafatwa ile ya kikikristo
hawa waombaji dua ni moja ya wagombea.
Dua ya kiislam_mgombea udiwani tandale
Dua ya kikristo-mgombea ubunge ukonga
watu wamesimama kwa ajili ya dua
jamaa wa dua ya kikristo ndo amemaliza kwa kumwomba Mungu amjalia lipumba awe rais
zamu ya kampeni meneja kuongea sasa
tofauti ya huu wa kwao naule wachadema ni shamra shamra, wa chadema watu wanaonekana wako kikazi na kiserous zaidi ila huu naona mbwembwe ni nyingi na utani utani umezidi
jamaa anawakumbusaha watu wakapige kura j"pili waache longolongo na kulalamika mitaani
m/mwekiti uwanja wake sasa.....maturumbeta na taarabu kama kawaida
Kule ni pipoooooooooozzzzzzzzz poweeeeeeeeerrrrrrrrr!!!!!!!!!! huku ni hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........saawaaaaaaaa.......kwa woteeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
m/kiti ana sema tatizo la Tz ni uchumi..........hapa binafsi sikubaliani nalo..kwangu naona tatizo letu ni uongozi mbovu...
na nyinyi amueni tatizo ni nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.