Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

Endeleaaa

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,485
738
Wakati CCM ni Mwendo wa Bongo Flava, CUF Taarabu kwa sana.

Jamaa anaipiga nyundo CCM kwa songi la Taarabu, Mwingine kulinda kura kwa mashairi hadi raha jamani
 
inasomwa dua, Dua ya kiislam ndo imekwisha inafatwa ile ya kikikristo
hawa waombaji dua ni moja ya wagombea.
Dua ya kiislam_mgombea udiwani tandale
Dua ya kikristo-mgombea ubunge ukonga
 
watu wamesimama kwa ajili ya dua
jamaa wa dua ya kikristo ndo amemaliza kwa kumwomba Mungu amjalia lipumba awe rais
zamu ya kampeni meneja kuongea sasa
 
Kampeni meneja anawashukuru wtz kwa kumpokea tz nzima kila walipofika.
anawaomba wananchi kumpigia kura lipumba na wagombea wake
 
agggggghhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!RRRRR
hawa watu vipi tena!!! wanaonyesha kadi za ccm na chadema walizopata toka kwa wananchi waliovihama vyama vyao.
 
wanatuma salamu kwa kikwete asipate presha, ni wao ndo wataenda ikulu!!
taarab kwa mbali kama kawaida inasikika
 
Jezi na kadi za CCM na Chadema kiroba kizima kukabidhiwa kwa JK na Mbowe after kampeni
 
nchi haihitaji taarabu na usanii wa aina hiyo,kinachohitajika kwa sasa ni DR. slaa kwani ni mtu makini kwenye maswala ya kitaifa
 
huyu kampeni meneja anawaambia sisiM wajiandae kuwa chama cha upinzani kuanzia j'plili
Naibu katibu mkuu zamu yake
 
tofauti ya huu wa kwao naule wachadema ni shamra shamra, wa chadema watu wanaonekana wako kikazi na kiserous zaidi ila huu naona mbwembwe ni nyingi na utani utani umezidi
 
jamaa anawakumbusaha watu wakapige kura j"pili waache longolongo na kulalamika mitaani
m/mwekiti uwanja wake sasa.....maturumbeta na taarabu kama kawaida
Kule ni pipoooooooooozzzzzzzzz poweeeeeeeeerrrrrrrrr!!!!!!!!!! huku ni hakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........saawaaaaaaaa.......kwa woteeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
m/kiti ana sema tatizo la Tz ni uchumi..........hapa binafsi sikubaliani nalo..kwangu naona tatizo letu ni uongozi mbovu...
na nyinyi amueni tatizo ni nini.
 
Duh! Jamaa kakiuka protokali kumaribisha lipumba kabla ya duni haji, wenzake wamemkumbusha..
Duni Haji ndo anaongea sasa>
 
hawa jamaa masihara sana wamezidisha!
jamaa anamchana msekwa, na kauli yake ya ushindi ni lazima
 
Back
Top Bottom