Kampeni UKAWA: Mnyonge Mnyongeni!, TBC, Inastahili Pongezi!, Jana Imefanya Kazi Nzuri Iliyotukuka!

pascal mayalla,

Umeeleza vyema lakini naomba niseme 'neno moja'.

Hawawezi kutufanya sisi mazuzu kwa miaka yote hii then kwa tukio moja tu, tuwasifu!
Binadamu hawako/hatuko hivyo.

Hapa nasema walifanya wajibu wao(wether kwa utashi au kulazimishwa and i doubt of the earlier).

TBC haina heshima nchini, and remember Respect has to be earned! All i can say is that, yesterday was a good start!
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Salaam.

Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa mimi ni Broadcast Journalist ambaye niliwahi kufanya kazi TBC, hivyo hiki ninachokizungumza humu nakijua ipasavyo as a professional journalist na sio kuifagilia tuu TBC kwa sababu nilifanya kazi pale!.

Nimeanza kwa kauli ya Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, kufuatia TBC kuwa inashutumiwa sana na kutuhumiwa kwa upendeleo wa wazi kwa CCM au kuiegemea sana serikali, hadi humu jukwaani kubatizwa jina la TBCCM!, na tangu kuanza kwa kampeni, nilinote taarifa za habari za TBC kuegemea kuripoti kampeni za mgombea mmoja tuu wa CCM kufuatia ni CCM pekee ndio kilikuwa kimeishazindua kampeni zake!, lakini kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, jana, nimenote mambo madogo, mazuri ambayo yanastahili kupongezwa as encoragement ili TBC iendelee kufanya mazuri kama haya kwa nyama vingine vyote hadi mwisho wa uchaguzi.

Hivyo jana katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mimi niliifuatilia TBC kwa jicho makini la karibu kufuatia TBC kuwa ni chombo cha habari cha umma na mimi ni mtu wa fani hii, ili kupima uzito wa covarage ya UKAWA nikiiulinganisha na ile coverage ya siku ya ufunguzi wa kampeni za CCM. Niliamua kuliangalia tukio hili kiufundi zaidi kwa kutumia split screen kwenye smart tv, ambapo unaiset kuonyesha hadi 4 screens kwa wakati mmoja ila sauti ndio unachagua unataka kuisikia ya TV ipi!.

  1. Quality: Kati ya TV zote zilizorusha jana uzinduzi wa kampeni za UKAWA in terms of Quality, ukiondoa Azam TV, ambayo wanapiga na kurusha digital signal, wengine wanapiga digital lakini wanarusha analogue!, TBC ndio iliyokuwa the best broadcast quality kuliko matangazo ya ITV, Star TV or Channel Ten. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  2. Coverage: Kati ya TV zote zilizorusha mkutano ule, TBC ndio wenye the widest coverage local network, wako kwenye Free to Air sattelite, na kwenye vingamuzi vyote ikiemo DsTV, hivyo TBC ndio TV iliyotapakaa zaidi kuliko TV nyingine zote nchini Tanzania!. NB: Kutapakaa ni tofauti na kutazamwa!, inaweza kutapakaa kote, lakini jee inatamwa kote?!. Hili ni suala la viewership na audience reseach. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  3. Content: TBC ndio alionyesha content kubwa zaidi kuliko TV zote, hii content inapimwa kwa kuhesabu different shots kwa kila tukio, kamera za TBC ndizo zilikua the bussiest kwa kuchange shots kila baada ya muda mfupi kuliko TV nyingine zote!, wakati camera za TV nyingine zilionyesha single shots for too long!. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  4. Relevance: TBC ndio iliyoongoza kwa ku focus kwenye matukio yenye most relevance kuliko TV nyingine zote. wakati TV nyingine ziki dedicate time nyingi kwenye shamra na irrelevant issue TBC wao walijikita kwenye issues muhimu zaidi. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  5. News Contents/Output/Covarage: Hii ni kufuatilia jinsi tukio lilivyo kuwa covered, au reported kwenye taarifa za habari, hapa tena TBC pia ndio aliongoza kucover vizuri kwa muda mrefu kuliko TV nyingine zote ambapo japo kwa TV zote hii habari ndio ilikua lead story, wazungumzaji kwenye news ya TBC ndio walikuwa wengi zaidi kuliko TV zote na time dedicated ilikuwa the longest!. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.

Swali la msingi la kujiuliza kama live ile ya jana ilitangazwa na vituo vya TV vya TBC, ITV, STAR TV, CHANNEL TEN, CLOUDs TV na AZAM TV, then kwa nini pongezi hizi zilielekezwe kwa TBC pekee?!. Sababu ni moja tuu, kwanza TV nyingine zote, Lowassa amelipia!, hivyo it was a business deal, hivyo they were expected lazima utumikie kile ulicholipiwa, lakini kwa TBC ambayo ni TV ya serikali ya CCM, kilichofanyika jana, was not expected!, nilitegemea watawabania kiaina, haswa kwa kuzingatia Rais alikuwa na tukio jana, na mgombea wa CCM pia alizindua Mbeya.

Hili ni jambo zuri na jambo jema sana ambapo TBC imejidhihirisha kuwa kweli ni TV ya Umma yaani Public Broadcating TV & Radio Station na sio TV ya serikali au TV ya CCM!, yaani TBC ni TBC na sio TBCCM!.

Japo TBC imeyafanya yote hayo katika kutimiza wajibu wake, lakini hata mtoto akifanya vizuri anapongezwa, hivyo TBC inastahili pongezi sana!. Hongera sana TBC na asante!.

Natoa wito kwa wanasiasa wetu na sisi Watanzania kwa ujumla wetu, tupunguze kuwa ni watu wa kulalamika, kunung'unika, kulaumu na kushutumu tuu, but sometimes at least tuwe ni watu wa shukrani,(appreciative) kwa kushukuru katika madogo ili tuweze kujaaliwa kupata makubwa!.

Hongera sana TBC na asanteni kwa kazi nzuri jana, na hili ni muhimu sana kwa sababu you never know with politics, kama mabadiliko yaliweza kutokea kwa majirani zetu wa Kenya, Zambia na Malawi, then it is possible hata hapa kwetu Tanzania, mambo yanaweza yakabadilika!, hivyo hata ikitokea mambo yakabadilika, watumishi wa TBC watajikuta wako very safe, kwa sababu they have been acting very fairly!.
Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali.

mpaka watishiwe ndio wafanye. hata hivyo siku moja tu tena baada ya vitisho kumbuka ni haki ya watanzania kupata habari pasipo kubagua na pia TBC ni chombo cha umma so binafsi sioni haja ya wewe kusifia kana kwamba wamefanya jambo kubwa kuliko. wakifanya vizuri tutaona na pongezi tutatoa.
 
Kama sio tcra sina uhakika na ilo kama ingekuwepo
 
Ccm haijazindua kampeni mbeya, kampeni walishazindua dar jumapili iliyopita

pia tbc hanalalamikiwa pia kuziminya habari za ukawa ikiwemo kusoma magazeti kwa upendeleo na ubaguzi
 
Julius Kaisari, naomba uniombe radhi kabla sijakushitaki kwa modes, hapa jf tunasheria zetu ambapo hairuhusiwi kumtaja kwa jina na kumfananisha member yoyote wa jf na mtu au member mwingine yoyote hata wafanane vipi!, au hata kama unamfahamu member fulani ni nani huruhusiwi kumtaja!, hilo ni kosa la name calling na adhabu yake ni kula ban!. Mimi ni Pascal Mayalla, ni mtu wa kweli na ni verified user, Pasco wa jf ni pen name tuu ya member mwingine wa jf!, nakuomba sana uniheshimu na usinifananishe na member mwingine yoyote hata kama ikitokea wewe unamjua huyo Pasco wa jf in reality ni nani!. Please!.

Paskali
Aah Pascal Mayalla.. With due respect,i beg your pardon. Huu msimu si wa kula ban. Maana ntakosa uhondo mwingi. Nami ni team "mtu wetu". Tafdhali bwana mkubwa,
Sorry Sir.
 
Last edited by a moderator:
Umetaka tu kutupa terms Zako za kiandiashi uliZojifunza veta! The time you have used for this is not equivalent to tu seriousness of the matter! It's is TBCCM - period! Yani nawaambien hii tv haiangaliwi! Nataman Kama kuna namna ya ku I futa kwenye decoder zangu!
 
Wanabodi,

Salaam.

Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa mimi ni Broadcast Journalist ambaye niliwahi kufanya kazi TBC, hivyo hiki ninachokizungumza humu nakijua ipasavyo as a professional journalist na sio kuifagilia tuu TBC kwa sababu nilifanya kazi pale!.

Nimeanza kwa kauli ya Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, kufuatia TBC kuwa inashutumiwa sana na kutuhumiwa kwa upendeleo wa wazi kwa CCM au kuiegemea sana serikali, hadi humu jukwaani kubatizwa jina la TBCCM!, na tangu kuanza kwa kampeni, nilinote taarifa za habari za TBC kuegemea kuripoti kampeni za mgombea mmoja tuu wa CCM kufuatia ni CCM pekee ndio kilikuwa kimeishazindua kampeni zake!, lakini kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA, jana, nimenote mambo madogo, mazuri ambayo yanastahili kupongezwa as encoragement ili TBC iendelee kufanya mazuri kama haya kwa nyama vingine vyote hadi mwisho wa uchaguzi.

Hivyo jana katika uzinduzi wa kampeni za UKAWA, mimi niliifuatilia TBC kwa jicho makini la karibu kufuatia TBC kuwa ni chombo cha habari cha umma na mimi ni mtu wa fani hii, ili kupima uzito wa covarage ya UKAWA nikiiulinganisha na ile coverage ya siku ya ufunguzi wa kampeni za CCM. Niliamua kuliangalia tukio hili kiufundi zaidi kwa kutumia split screen kwenye smart tv, ambapo unaiset kuonyesha hadi 4 screens kwa wakati mmoja ila sauti ndio unachagua unataka kuisikia ya TV ipi!.

  1. Quality: Kati ya TV zote zilizorusha jana uzinduzi wa kampeni za UKAWA in terms of Quality, ukiondoa Azam TV, ambayo wanapiga na kurusha digital signal, wengine wanapiga digital lakini wanarusha analogue!, TBC ndio iliyokuwa the best broadcast quality kuliko matangazo ya ITV, Star TV or Channel Ten. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  2. Coverage: Kati ya TV zote zilizorusha mkutano ule, TBC ndio wenye the widest coverage local network, wako kwenye Free to Air sattelite, na kwenye vingamuzi vyote ikiemo DsTV, hivyo TBC ndio TV iliyotapakaa zaidi kuliko TV nyingine zote nchini Tanzania!. NB: Kutapakaa ni tofauti na kutazamwa!, inaweza kutapakaa kote, lakini jee inatamwa kote?!. Hili ni suala la viewership na audience reseach. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  3. Content: TBC ndio alionyesha content kubwa zaidi kuliko TV zote, hii content inapimwa kwa kuhesabu different shots kwa kila tukio, kamera za TBC ndizo zilikua the bussiest kwa kuchange shots kila baada ya muda mfupi kuliko TV nyingine zote!, wakati camera za TV nyingine zilionyesha single shots for too long!. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  4. Relevance: TBC ndio iliyoongoza kwa ku focus kwenye matukio yenye most relevance kuliko TV nyingine zote. wakati TV nyingine ziki dedicate time nyingi kwenye shamra na irrelevant issue TBC wao walijikita kwenye issues muhimu zaidi. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.
  5. News Contents/Output/Covarage: Hii ni kufuatilia jinsi tukio lilivyo kuwa covered, au reported kwenye taarifa za habari, hapa tena TBC pia ndio aliongoza kucover vizuri kwa muda mrefu kuliko TV nyingine zote ambapo japo kwa TV zote hii habari ndio ilikua lead story, wazungumzaji kwenye news ya TBC ndio walikuwa wengi zaidi kuliko TV zote na time dedicated ilikuwa the longest!. Kwa hili peke yake TBC inastahili pongezi!. Hongera sana TBC!.

Swali la msingi la kujiuliza kama live ile ya jana ilitangazwa na vituo vya TV vya TBC, ITV, STAR TV, CHANNEL TEN, CLOUDs TV na AZAM TV, then kwa nini pongezi hizi zilielekezwe kwa TBC pekee?!. Sababu ni moja tuu, kwanza TV nyingine zote, Lowassa amelipia!, hivyo it was a business deal, hivyo they were expected lazima utumikie kile ulicholipiwa, lakini kwa TBC ambayo ni TV ya serikali ya CCM, kilichofanyika jana, was not expected!, nilitegemea watawabania kiaina, haswa kwa kuzingatia Rais alikuwa na tukio jana, na mgombea wa CCM pia alizindua Mbeya.

Hili ni jambo zuri na jambo jema sana ambapo TBC imejidhihirisha kuwa kweli ni TV ya Umma yaani Public Broadcating TV & Radio Station na sio TV ya serikali au TV ya CCM!, yaani TBC ni TBC na sio TBCCM!.

Japo TBC imeyafanya yote hayo katika kutimiza wajibu wake, lakini hata mtoto akifanya vizuri anapongezwa, hivyo TBC inastahili pongezi sana!. Hongera sana TBC na asante!.

Natoa wito kwa wanasiasa wetu na sisi Watanzania kwa ujumla wetu, tupunguze kuwa ni watu wa kulalamika, kunung'unika, kulaumu na kushutumu tuu, but sometimes at least tuwe ni watu wa shukrani,(appreciative) kwa kushukuru katika madogo ili tuweze kujaaliwa kupata makubwa!.

Hongera sana TBC na asanteni kwa kazi nzuri jana, na hili ni muhimu sana kwa sababu you never know with politics, kama mabadiliko yaliweza kutokea kwa majirani zetu wa Kenya, Zambia na Malawi, then it is possible hata hapa kwetu Tanzania, mambo yanaweza yakabadilika!, hivyo hata ikitokea mambo yakabadilika, watumishi wa TBC watajikuta wako very safe, kwa sababu they have been acting very fairly!.
Nawatakia Jumapili Njema.

Paskali.

Kumbuka TCRA na Tume waliibinya, vinginevyo utakumbuka yule dada alivyokuwa anapotosha kusoma magazeti!
 
PASKALI,

Bila KARIPIO LA KISHIKAJI kutoka TCRA wasingefanya hayo uliyoyaona.

Mbona ulikaa kimya pale Msomaji Magazeti wa TBCssem alipoupotosha UMMA kwa kusoma habari TOFAUTI na zilizochukua UMUHIMU MKUBWA kwenye kurasa za mbele za Magazeti yale??! Au hujaiona hiyo clip ya tbc??! Laiti Watanzania wote tungekuwa na ulemavu wa Macho, yaani WASIOONA, tungemwamini Msomaji Magazeti yule! Na nitashangaa sana kama bado yupo Kazini mpaka hii leo!!!

TBC, kumbukeni kuna maisha baada ya Uchaguzi huu, Muwe makini na mtende haki kwa WaTanzania wote!!
 
Hivi mleta mada uliona ile clip ya usomaji wa magazeti iliyopelekea TBC kupewa onyo? Itafute uione kisha soma lile karipio la TCRS kisha uje tena hapa uombe radhi kwa bandiko refu lililopotezea watu muda kulisoma kumbe ni upotoshaji.
TBC bado ni janga katika uhuru wa habari nchi hii, na kama ume note ni kuwa kuna dalili za kuwa wanafanya kazi kipropaganda kwa shinikizo ndio maana hata ile bashasha kwenye nyuso za watumishi imeondoka kwa vile wamekuwa na wasiwasi na hatima ya maisha yao ya kazi kulingana na upepo wa kisiasa unavyokwenda sasa.
 
Back
Top Bottom