Bega kwa Bega
Member
- Mar 16, 2016
- 62
- 30
Hebu ona jamani halafu unakuta wachungaji na maaskofu walikuwa wakibubujika hadi machozi eti wanamlilia Mungu amwezeshe kibaka aingie ikulu!!!! LO!
Vipi hutamani siku ya MKWERE kupelekwa huko?
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
sasa kama lowasa hakuhusika na richmond yanini viherehere vya wabunge wa cdm wakiongozwa na mbowe walipokuwa wakisema lowasa ni mchafu?Anayesubiri Lowassa Mahakamaani hajui seikali Magufuli anachopambana nacho !!
Watuhumiwa wa EPA ESCRO wako wazi kuliko lakini hana jeuri kwa sababu kila
Mbunge wa Ccm akiwemo.yeye Maguf aligawaiwa kwa ajili ya kampeni
sembuse Richmond amabayo hata Lowassa hajahusika wala hakutajwa na bunge !!
Mtasuburi sana !
Ccm wangapi wako pro lowassa
Intellectuals wangapi wako pro lowassa
Businessmen wangapi wako pro lowassa....tafakari the man is great.tusidanganyane tuambiane ukweli
Anamnyoosha mwenyekiti wa chamaMagufuli lazima ainyooshe nchi.
Yapi hayo Faizafoxy?Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Taratibu usiandike kama unaongea bint FoxySiyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
mkuu ww ndo umeongea haiwezekan miaka yote walale tuu wakat mambo yalifanyika wao wakiwepo aiseeTakukuru inatakiwa wachinguzwe haiwezekani Gazeti moja lilipinga sana kwa serikali kukopa Stanbic bank wao walikaa kimya kama hamna kitu tushaibiwa ndio wanakuja kuchunguza kwa hiyo Takukuru hawawezi kuzuia..hao wanawakamata mahakimu na kesi za 10,000 huku mabilioni yakiteketea hao ndio wa kychunguzwa kwanza..
jingalaoSiyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.
Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Mimi yote tisa kumi nasubiri siku papa la ufisadi lenyewe Lowasa likishikwa na kupelekwa Kisutu halafu kupewa ndoo kupelekwa Mahabusu bila ya dhamana hiyo siku ikifika najua sasa haki itakuwa imetendeka TanZania, na kufunga ukurasa wa ufisadi rasmi na kuanza kujenga TZ yetu mpya ya bila mafisadi!!
Lowasa ameifilisi sana hii nchi kila ufisadi yumo hata lile jengo walilokodi SSRA wanaolipa kodi bilioni 600 ni lake..Angekuwa rais Taifa lingeangamia hili
Dau yupo wapi?Siyo Lowassa? Unafikiri dudu lilililomg'oa uwaziri mkuu ni moja tu? Ni mlolongo.
Kikwete alikuwa hapapariki katika maamuzi yake. Tartiibu lakini efficient.