Utahudumiwa Juma3Utaratibu wao mbovu sana.... BADO WANAAMINI GARI ANAKUWA NALO BOSS TU... WAKATI HUKU KWA WENZAO, GARI NI TOOL OF TRADE.. YAANI GARI NI SAWA NA BISIBISI KWA MTU WA TELECOM/TELECOM POWER. HUNA BISIBISI KAZI ITAKUWA NGUMU KWAKO...
Kwa wenzao, siku unaanza kazi kama site Engineer, unapewa gari (na fuel card), Laptop na toolbox... Lakini kwao Toolbox analo mhandisi, gari analo dereva na mafuta anashughurika nayo mwingine (say transport officer). Kwa wenzao, huyo site engineer akihitajika kwenye tower yoyote inayomuhusu, anaanzia safari alipo kuelekea kwenye tatizo maana kila kitu anacho yeye.. SASA KWA TTCL, imajini, kwa Dar dereva anaishi Kawe, mhandisi anaishi Kigamboni muidhinisha mafuta anaishi Segerea... Hao mpaka wa-organise hadi mhandisi afike eneo lenye tatizo, ni muda mrefu utapita, hence long downtime... NANI ANAWEZA VUMILIA HAYA?
Na mambo hayo ndo yalifanya makampuni mengine yote yahame kwenye minara ya TTCL kweny kupeleka mawasiliano mikoani... Kwa mfano, TIGO walikuwa DAR na SWITCH yao ipo Dar... walipotaka kupeleka mawasiliano Mtwara, waliingiza mawasiliano yao kwa TTCL na wanakuja kuyapokelea Mtwara then wanarudisha kweny minara yao... Sasa embu fikiria, Mkuranga pazime, inamaana kwa TIGO na wengine wote waliopita Mkuranga kuelekea Mtwara, watu wao hawawasiliani, kisa TTCL wamepata tatizo... UKIWAZA NA MLOLONGO WA HAPO JUU... wakaamua wahame na kila mmoja akajenga minara yake.. walioamua kushare walishea.... Hii ilipelekea wakose mapato mengi mno
Sasa tukio hilo la kuzima minara ya TTCL usiombe litokee weekend... NDO MTAKOMA
Utaratibu wao mbovu sana.... BADO WANAAMINI GARI ANAKUWA NALO BOSS TU... WAKATI HUKU KWA WENZAO, GARI NI TOOL OF TRADE.. YAANI GARI NI SAWA NA BISIBISI KWA MTU WA TELECOM/TELECOM POWER. HUNA BISIBISI KAZI ITAKUWA NGUMU KWAKO...
Kwa wenzao, siku unaanza kazi kama site Engineer, unapewa gari (na fuel card), Laptop na toolbox... Lakini kwao Toolbox analo mhandisi, gari analo dereva na mafuta anashughurika nayo mwingine (say transport officer). Kwa wenzao, huyo site engineer akihitajika kwenye tower yoyote inayomuhusu, anaanzia safari alipo kuelekea kwenye tatizo maana kila kitu anacho yeye.. SASA KWA TTCL, imajini, kwa Dar dereva anaishi Kawe, mhandisi anaishi Kigamboni muidhinisha mafuta anaishi Segerea... Hao mpaka wa-organise hadi mhandisi afike eneo lenye tatizo, ni muda mrefu utapita, hence long downtime... NANI ANAWEZA VUMILIA HAYA?
Na mambo hayo ndo yalifanya makampuni mengine yote yahame kwenye minara ya TTCL kweny kupeleka mawasiliano mikoani... Kwa mfano, TIGO walikuwa DAR na SWITCH yao ipo Dar... walipotaka kupeleka mawasiliano Mtwara, waliingiza mawasiliano yao kwa TTCL na wanakuja kuyapokelea Mtwara then wanarudisha kweny minara yao... Sasa embu fikiria, Mkuranga pazime, inamaana kwa TIGO na wengine wote waliopita Mkuranga kuelekea Mtwara, watu wao hawawasiliani, kisa TTCL wamepata tatizo... UKIWAZA NA MLOLONGO WA HAPO JUU... wakaamua wahame na kila mmoja akajenga minara yake.. walioamua kushare walishea.... Hii ilipelekea wakose mapato mengi mno
Sasa tukio hilo la kuzima minara ya TTCL usiombe litokee weekend... NDO MTAKOMA
Malalamiko ya kweli au ya uwongo? Through hayo unayoyaita malalamiko, wanaweza pata solution wakiyafuatilia.... NAIFAHAMU HIYO TELECOM INDUSTRYBwana Ngalikihinja unaongoza kwa kulalamika humu
Malalamiko ni ya ukweli kabisa.Malalamiko ya kweli au ya uwongo? Through hayo unayoyaita malalamiko, wanaweza pata solution wakiyafuatilia.... NAIFAHAMU HIYO TELECOM INDUSTRY
ππππHilo shirika limejaa wazee kama wote. Usitegemee kitu hapo. Utakuta mzee anatumiwa meseji anampa mjukuu wake amsomee au akitaka kupiga simu, anampa mtu anamtafutie jina kisha ampigie aongee naye. Wazee kama hawa wapo wengi sana TTCL kwahiyo usitegemee jipya
Nina jamaa yeye ni contractor wao kwenye operations zao... anakwambia akiingia mlangoni kwenda kudai malipo ya kazi aliyoifanya, ANAMWAKA SHIKAMOO KUANZIA MWANZO HADI MWISHO.. Na bahati mbaya, wengine wanamcheleweshea malipo kwa kumwambia... MWANANGU, UWE TU MVUMILIVU UTALIPWA..!!! Lini, hapo ndo kashesheHilo shirika limejaa wazee kama wote. Usitegemee kitu hapo. Utakuta mzee anatumiwa meseji anampa mjukuu wake amsomee au akitaka kupiga simu, anampa mtu anamtafutie jina kisha ampigie aongee naye. Wazee kama hawa wapo wengi sana TTCL kwahiyo usitegemee jipya
Ndiyo maana wanatujibugi shit tukiwaelezea matatizo yetuπ¬π¬π¬Nina jamaa yeye ni contractor wao kwenye operations zao... anakwambia akiingia mlangoni kwenda kudai malipo ya kazi aliyoifanya, ANAMWAKA SHIKAMOO KUANZIA MWANZO HADI MWISHO.. Na bahati mbaya, wengine wanamcheleweshea malipo kwa kumwambia... MWANANGU, UWE TU MVUMILIVU UTALIPWA..!!! Lini, hapo ndo kasheshe
Hahaaa! Walianzia posta na simu wakagawanywa kuwa mashirika mawili enzi hizo wanaajiliwa wasomi wasiojua kusoma na kuandika yaani unajifunzia humo humo ukijua kupokea simu unaitwa manager au fundi mkuu so ujuzi wao ni wa experience na siyo wa kusoma na mwendo wa kubadilisha miaka tu na kujirudisha utoto watu na mvi zao na ajira zikitoka wanawapa watoto wao sasa hapo tusitegemee kitu chochote cha mabadiliko, na wenzao idara za maji hivyo hivyo, angalau aliyeinuka kufumua Tanesco bila lelemama mpaka luku zikapikana angepelekwa huko kwenye hizo huduma tungepata matokeo.Hilo shirika limejaa wazee kama wote. Usitegemee kitu hapo. Utakuta mzee anatumiwa meseji anampa mjukuu wake amsomee au akitaka kupiga simu, anampa mtu anamtafutie jina kisha ampigie aongee naye. Wazee kama hawa wapo wengi sana TTCL kwahiyo usitegemee jipya