johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,628
Leo Magufuli anafanya mkutano wa kampeni hapa Iringa, nipo hapa luxury pub napata supu kidogo but tutajuzana yanayojiri soon. stay tuned!
Leo Magufuli anafanya mkutano wa kampeni hapa Iringa, nipo hapa luxury pub napata supu kidogo but tutajuzana yanayojiri soon. stay tuned!
Khaa!! Achana nao hao malofa wa ubongo. Cha msingi watembee na dawa za presha kuanzia 25/10. Hapa kazi tu ufisadi kwenu :A S shade:Ni kweli wengine muda tunao sana,tatizo watu wanaweka mahaba kupitiliza na hawataki kusikia mawazo tofauti isipokuwa kuwaaminisha wanachoamini wao baasi!
Khaa!!Subiri Utamjua tu na utanyooka, November si Mbali :glasses-nerdy:Ndo nani magufulii??
Khaa!! Wewe na nani bana? Siyo wote ni wapumbavu hapa. Wengine tupo na akili zetu kamili :glasses-nerdy:Wala hatutaki kujuzwa mambo ya Magufuli hapa
Ndo nani magufulii??
Leo Magufuli anafanya mkutano wa kampeni hapa Iringa, nipo hapa luxury pub napata supu kidogo but tutajuzana yanayojiri soon. stay tuned!
Hakuna mwenye muda huo
Waende tu,sidhani kama watawazidi wale waliohama ccm kuja ukawa,maana dr mihogo kwisha habari yake