bulumya londo
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 184
- 14
Ndo nani magufulii??
niyule raissi wa nchi hii kuazia tarehe 1/11/015.kumbe wewe ulikuwa humufahamu?
Ndo nani magufulii??
Hakuna mwenye muda huo
ni kweliKhaa!! Wewe na nani bana? Siyo wote ni wapumbavu hapa. Wengine tupo na akili zetu kamili :glasses-nerdy:
Wala hatutaki kujuzwa mambo ya Magufuli hapa
Hakuna mwenye muda wakati mwenye muda ni wewe? Kama huna muda mbona hapo umecomment? Watu wengine bwana, majanga tu.
Jamani kuna Magufuli wangapi??
Maana Jamhuri Morogoro leo kuna Magufuli mwingine huku
Ndo nani magufulii??