Rusha mkuu. Rusha pia facebook na Twitter. Pia wafafanulie kuwa kinachofanywa sio kuwa fedha zinarudushwa kama Mh Membe alivyolipotosha bunge jana. Kinachorudishwa ni "reparations" kwa wananchi wa Tanzania. soma post yangu ya nyuma ambayo nimepost hapa chini. Pia wapatie link ya gazeti la The Citizen ambalo limejaribu kufafanua nani mwenye maamuzi ya mwisho ya nani apewe reparations:
BAE CASH NOT A REFUND
.....Kimsingi sio kwamba fedha zinarudishwa. Kinacholipwa na BAE Systens ni "reparations" kwa wananchi wa Tanzania. Hii ina maana kuwa BAE itakuwa na final say kwenye hayo malipo. Mh Membe anakosea anapolinganisha malipo yaliyofanywa kwa serikali ya Marekani na hayo ya kwetu. Malipo kwa serikali ya Marekani hayakuwa reparations. Kumbuka kulipa reparations ni bargain iliyofikiwa kati ya UK Serious Fraud Office (SFO) and BAE. Serikali yetu mpaka sasa imeshindwa kuchukua hatua zozote dhidi ya wale waliohusika.
Mahakama iliamua Watanzania walipwe reparations, sio serikali irudishiwe fedha. Tofautisha hapo. Tokea lini serilali ikalipwa reparations? Mh Membe anataka kulipotosha bunge. Its the Tanzanians who are entitled to the reparations, not the Government of Tanzania. Haturudishiwi fedha tulizonunulia ile rada. Tunapewa tuu reparations kama ilivyoamriwa na mahakana. Kumbuka hata BAE inaweza ikapeleka hizo reparations World Bank. Nasizitisha. Tofautisha kati ya kurudishiwa fedha na kulipwa reperations. Ni vitu viwili tofauti. Halafu niambie tokea lini serikali ikalipwa reparations? Repearations huwa ziinalipwa kwa walioadhirika. Sasa kati ya serikali na Watanzania, ni nani walioadhirika na manunuzi ya ile radar? Wabunge wetu inabidi wafahamishwe hili. Sijui kama wanalijua.