Kampeni chafu zaendelea dhidi ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni chafu zaendelea dhidi ya CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Crashwise, Oct 15, 2010.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Leo kulizuka songobingo baada ya gari la matangazo la TLP kupita mitaani ilikitangaza kuwa bwana God bless Lema amekihama chama chake cha CHADEMA na kwenda TLP ndipo bwana Lema alipotarifiwa juu ya tuhuma hizo na kuanza kulifatilia hilo gari na kulikama maeneo ya makao mpya na kuanza kutembeza mkongoto kwa walio kuwa wakitangaza kabla hawaja wafikisha polisi nilifika Polisi kwenda kujua kinacho endelea na kukuta wahusika wote wakiwa wana hojiwa hivyo niliweza kuongea na mtu wa karibu wa Lema aliejitabulisha kwa jina la kwanza Juma alisema Bwana Lyimo ambaye ni mgombea Ubunge kupitia TLP anatumiwa na CCM kumchafua Bwana Lema hasa baada ya wao CCM kushindwa binu zao zote chafu ikiwemo kuchana picha za Dk Slaa, Lema na wagombea udiwani hasa kutoka Chadema na bado CHADEMA inazidi kujiongezea wapenzi hivyo inaonyesha wameamua kumtumia Lyimo maana na yeye anaonekana hana chake hapa Arusha...mida ya saa saba kama na nusu hivi walimaliza kuandika maelezo hivyo kesi jumatatu
   
 2. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM washindwe na walegee!
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Gari ya TLP iliyokuwa ikitangaza chini ni Lema mgombea ubunge kupitia Chadema jimbo la Arusha garilatlp.jpg
   

  Attached Files:

 4. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naaam hii ndicho kilichobakia CCM. Niliandika jana jioni kuhusu kupigwa na kukamatwa mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA Ndg Abuu Shayo. Kitendo kilichowakasirisha Wanachama wa CHADEMA kuandamana kuomba POLISI iwatendee haki! Huu ni udhaifu wa hali ya juu sana kwa chama komavu kama CCM. Huko wilaya ya Hai mambo ni yale yale. Kuteka, kupiga na kuweka ndani watu bila sababu ndicho kilichobakia.
  Kwa nini tusiwaachie Watanzania waamue wanachokitaka badala ya kulazimishwa?
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Du kumekucha hwa mafisadi washindwa

  sasa hivi wanawatumia CUF NA TLP NA NCCR
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mimi naona vyama vyote vinachafuana lakini wengi hawajatumwa na vyama vyao bali ni wagombea katika harakati za kutafuta ushindi..
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Unafikiri wote ni wasanii kama ninyi???
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Malaria sugu,

  Hakuna habari za namna hii hapa Arusha magari ya vyama vyote yanapita kutangaza wagombea wao watahutubu sehemu gani ya jiji la Arusha.CHADEMA watakuwa na mkutano wao Kijenge,TLP watakuwa na mkutano Krokoni eneo maharufu sana kwa kuuza mitumba.Godbless Lema anjua kutumia propaganda ili kuvuruga mkutano wa Lyimo hii si mara ya kwanza.
   
 9. R

  Reena Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  maandamano yalikuwa makali manake jamaa alikuwa na mkutano mtaani kwake na alikuwa anangojewa aje amwage sera yani ilikua kama sinema ccm kweli wameishiwa abuu alitoka na mkutano alipiga kama kawa na kulikuwa na nyomi ya kutosha jamaa hana mpinzani kata hii ni yake mpaka akatae mwenyewe. ccm wemeishiwa sera sasa hivi wanapiga na kuweka ndani kila mfuasi wa chadema sasa sijui tutawekwa wangapi
   
 10. R

  Reena Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Huyu jamaa ni kamanda alishapigana hadi na meya hataki unafiki wa ccm yeye ni hapo kwa hapo. Aah I love this guy ni diwani wangu jamani huyu amefanya mengi tuliyokuwa hatuyajui tumeyajua na fitina zote za ccm tumezijua sasa wanataka kufanya juu chini asirudi kwenye udiwani
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna kitu MS hataki kuona. Watu wamechoka na sera mbofumbofu. CCM ikipiga kona tu wamefika mwisho.
  Wameinamaaaaaaaaaaaa aaaaaah wameinuka wanaona haya haoooooooooooooooo!
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Craswise,

  Acha uzushi Godbless Lema hawezi kupokelewa TLP hata kwa dakika moja anajulikana ni mfanyabiashara mzuri ndiyo maana aliuza ubunge na diwani wa upinzani mwaka 2005.
   
 13. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mimi mwenyewe nimeshuhudi yale magari pale polisi it was a lunch time, unaonekana kuwa highly informed but nahisi hii imekupita. So for the first time kubali kuhabarishwa kwani haiwezi kukufanya uonekane uko nyuma
   
 14. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe uko kwenye msafara wa chama gani? mbona unataka to rely kwenye information ambazo unatoa tu wewe? kama habari hujazipata basi kubali kuhabarishwa.
   
 15. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kwa chama kinachoongozwa na mtu kama Lyatonga unategemea nini? Yuko tayari kukaa kwenye chama kibovu hata kama hakikubaliki mahala kokote ili muradi tu awe mwenyekiti wa chama.

  TLP si kwamba wanatumiwa na CCM, ni kuwa wanajipendekeza wakidhani watapewa chochote na CCM. TLP ni madalali njaa wa siasa hapa nchini na ni chama cha kishenzi kama CCM. CCM ni mshenzi mkubwa na TLP ni mshenzi mdogo.

  Hawa ndio wanasababisha wananchi wadhani wapinzani ni wahuni, kumbe ni vyama kama TLP vyenye mlengo wa ki CCM ndio vimejaa uhuni.
   
 16. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  malaria sugu kumbe upo, mbona hatukuona kwenye thread zenye kuhitaji umakini kujadili? Tunakuona kwemye mipasho tuu?
   
 17. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kamanda kumbe upo? hakuna jipya hapa, jelous as usual.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  kamanda badilisha hii santuri yako, mbona ina scratch kibao lakini wewe unailazimisha tuuuuu!!
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimeukumbuka ule wimbo wa Komba"sasa kumekucha jogoo limekwisha wika................
  Mwaka huu imekula kwao CCM
   
 20. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mzee wa Kilimo cha Mchicha New Zealand anajaribu kila mbinu kumrudisha mahabuba mjengoni. Mwaka huu utafulia mzee.
   
Loading...