William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Never tell people how to do or reason about things. Tell them what to do and help them with reasoning and they will surprise you with their ingenuity.
Unavyosema wote are you speaking for everyone or you are trying to air out your opinions regarding this issue?
Mkuu mbona ulianza vizuri sasa imekuwaje, au nikuachie mjadala?
sasa hapa hoja iko wapi inayohusu wafanyabiashara kutoa misaaada kwa vyama vya siasa nchini? Mbona unataka kubadili subject? Jamaa bwana kweli you are a genius
Hapana Mkuu nilijibu swali lako la kwamba wote humu JF waamini kama mimi na wwengine tunavyotaka kuamini ila tukubali ukweli kwamba huyu mchangiaji hana jema kwetu maana yeye na kuhisiwa na issue ya RADAR is not a small thing and thus an enemy of our state and do you think that after the chaos and carnage of RADAR,EPA and RICHMOND, it is not enough to serve our enemies by accepting petty gifts from them rather than dealing with them well
Any government that supports, protects or harbours the corrupt is complicit in the murder of the innocent and equally guilty of corruption.
For all who love freedom and peace and the development of this state Tanzania without this corrupt people is a better and safer place.
Nafikiri ukweli uko wazi kwamba huyu mhindi alihisiwa lakini hajashitakiwa ila rafiki yake ndiye aliyeshitakiwa na kutoroka, sasa kama kuhisiwa kunamfanya awe mhalifu anyways, basi mimi naomba ku-retire kutoka huu mjadala.
Ahsante Sana Mkuu!
Sasa unasema kwamba mwananchi yoyote anayetoa msadaa ni mhalifu au? Na kwa sababu wewe unaamini hivyo basi ni lazima wote hapa JF tuamini hivyo bila kuuliza?
Nafikiri ukweli uko wazi kwamba huyu mhindi alihisiwa lakini hajashitakiwa ila rafiki yake ndiye aliyeshitakiwa na kutoroka, sasa kama kuhisiwa kunamfanya awe mhalifu anyways, basi mimi naomba ku-retire kutoka huu mjadala.
Ahsante Sana Mkuu!
Enzi za Mwalimu mafisadi kama hawa walikuwa hawaisogelei kabisa CCM maana walijua principles za Mwalimu kamwe asingekubali kupokea pesa kama hizi toka kwa wahusika ambao wamezungukwa na tuhuma za kifisadi
Mkuu ni kweli kabisa kua enzi za mwalimu huyu asingesogea kabisa kwa sababu ya kuhisiwa tu, maana kulikuwa hakuna sheria enzi hizo, sheria ilikuwa ni yeye Mwalimu,
lakini je unajua enzi za mwalimu CCM walikuwa wanatoa wapi hela za kuendesha chama? angalau siku hizi tunajua kuwa wana ruzuku!
Huyo jamaa eti anaipenda CCM? Kama ana pesa si akasaidie shule na maendeleo ya jamii? Ni aibu kwa CCM kukumbatia hao matajiri.
Mambo mengine yanachafua tumbo kweli kweli. Nitakuwa wa mwisho kuamini huyo jamaa ana mapenzi na CCM. Anachotaka ni kununua favours tu. Si ajabu hata siku hiyo hiyo anatoa hizo pesa, pembeni anakwepa kulipa kodi.
Mkuu Mtanzania,
Tuache ubaguzi jamani, tuache kuhukumu bila ukweli tusichukie wanaanchi wenzetu kwa sababu ni matajiri tu kutoa kwake sio dhambi, kama ana dhambi isemwe hapa lakini tuache hisia kwa sababu ni Mhindi.
Haiwezekani rais akaamuru wahalifu wa EPA, wafikishwe kwenye sheria halafu akarudi kuchukua hela za wahalifu wengine, tusilazimishe tu kwa nguvu uhalifu kwa wananchi kwa sababu hatufanani nao, sio vizuri kwa mshikamano na amani ya taifa letu jamani!
Watamkamata ila watasema ameisharudisha Shs 400 Million
lakini je unajua enzi za mwalimu CCM walikuwa wanatoa wapi hela za kuendesha chama? angalau siku hizi tunajua kuwa wana ruzuku!
Hivi yule Kishimba wa Imalaseko yuko wapi hivi?.....nakumbuka kuna wakati alikuwa na tuhuma za kujibu kuhusu meli iliyoua watu pale Ziwa Victoria akapotea ghafla.....Nadhani kuwa mfadhili wa CCM kumemsaidia kum-cover kwenye hizi tuhuma na watu wamesahau sasa anapeta tu. Hii ndio design ya wafadhili wa CCM wanainvest for future 'favours' kwa kutoa misaada na ufadhili kwa CCM.
Nadhani wakati wa Nyerere mstari kati ya chama na serikali ulikuwa haupo - mfumo uliruhusu hali hii kwa kiasi fulani. Lakini pia huo ndio wakati chama kilipokuwa na miradi mingi tu - kumbuka sukita, viwanja vya mipira, majengo nk! Na wakati huo kulikuwa hakuna upinzani, hakuna ambaye angedai fair playing ground!
Sasa mkuu kweli unajenga hoja yote hii kwa kudhani tu?
Nimekuuliza swali moja tu, kwamba kweli unaweza kujenga hoja kwa kutumia kudhani,
umekuja na majibu mengi ambayo hayahusu swali langu kwako, haya nimekubali naomba nikuachie!
Kumbe wafanyabiashara ni muhimu katika vyama vya siasa...Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimezidi kukitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya kuwachukua wanachama wake kadhaa ambao ni wafanyabiashara maarufu wa wilayani Tarime, Mkoa wa Mara wanaoishi jijini Dar es Salaam.