Kampeni chafu zaanza UVCCM

watu wengine mnachekesha na nadhani uchekeshaji wenu is part of your system, sasa unatakarais akae 2 star hotel ?

mambo mengine yaani ni kuongea ili mradi kuongea ! hata kama kungekuwa na scale ya 25 star hotel, still ingekuwa vizuri angekaa huko kama rais !

kama utaangalia upande mbaya tu wa JK then nadhani hautokuwa na matumaini yoyote so wewe endelea kuangalia upande wake mbaya tu, na usiniambie hana mazuri !
Kada Mpinzani watu wengine wana akili ya makengeza wahurumie.Hawawezi kuona upande wa pili wanadhani kuongoza nchi sawa na soga la walamirungi
 
Bulesi
kwa taarifa zako Amos Makala ni msomi CPA holder,vile vile ana Advance Diploma ya Business Admnistration na Postgraduate degree ya procurement and supply kutoka chuo cha usimamizi wa fedha IFM

A young political leader whom we expect to push forward our country's economic and political progress? And you call these qualifications?

Maybe for being MKUSANYA MALI wa CCM lakini sio katika suala zima la uongozi wa kisiasa katika enzi hizi za siasa za ushindani wa kidemokrasia na maendeleo endelevu.....

But hata kama amepitia madarasani unadhani kuwa mtazamo wake, tabia zake na utendaji wake wa kikazi unaendana na sifa ya usomi?

Tanzanianjema
 
Back
Top Bottom