Kampeni CCM zimedoda, safari kuelekea ikulu yatia nanga

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kwanza kabisa kuna waheshimiwa mashuhuri hawashiriki kampeni za Magufuli kama kina Salim Ahmed Salim(Waziri mkuu msaafu), Bilal (makamu wa rais) na hata Augustine Ramadhani(jaji mkuu mstaafu) na pigo baya zadi kufuatia operesheni TOROKA UJE, Kingunge amabaye ni bingwa wa mikakati ya ushindi nae kaenda kuipa tafu team itayohakikisha Edward Lowassa atakuwa Rais.

Sote tumeshuhudia katika mikutano ya Arusha, Tabora na Shinyanga watu wengi waliofurika uwanjani ni wale walioletwa na malori kitu ambacho ni kulazimisha watu wajae uwanjani, Pia wingi wa watu ni kutokana na kuwepo kwa kundi kubwa la wasanii maarufu kama kina Diamond ambao hutoa burudani bure kabisa kwenye mikutano ya hizi kampeni.

Imefikia kipindi vitu vinavyoahidiwa kwa sasa na Magufuli kama Afya, Maji na Ajira vipo nje ya ilani ya uchaguzi ya chama tawala, je vitatekelezwa nje ya ilani, Sote tunaoshuhudia kampeni zinazofanyika kila kona ya nchi hii tumeona ya kwamba Magufuli kwa sasa anafanya kampeni kama mpinzani hali inayoashiria upepo mbaya kwa chama tawala.

Kwa sasa Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa ana ahadi ya kutoa elimu ya bure kutoka shule za msingi hadi vyuo vikuu na kufuta kabisa madeni ya mikopo ya wanafunzi waliosoma vyuoni wanayoilipa pindi wakianza kazi kwa upande wake Magufuli yeye ataboresha utoaji wa mikopo na wanafunzi wataendelea kuirudisha waanzapo kufanya kazi, October 25 ndio hio Tuchague kiongozi bora.
 
Inafaa tuwe makini lakini. Ni ukweli usiopinga ya kwamba CCM wameishiwa na nguvu majukwaani na hawafanyi kampeni, ila sasa nguvu zao zote wamezielekeza kwenye daftari la kupiga kura. Wanataka kucheza na mahesabu ya kura. Hio ndio silaha yao ya mwisho!
 
Waliobaki huko wote ni mandina,nani anaweza kucheza na mahesabu ya kura?mwigulu,january,kikwete, nape, au nani sasa wote hao wana miili mikubwa na mijicho mikubwa ubongo wa mende.
 
Waliobaki huko wote ni mandina,nani anaweza kucheza na mahesabu ya kura?mwigulu,january,kikwete, nape, au nani sasa wote hao wana miili mikubwa na mijicho mikubwa ubongo wa mende.

Dah! Haya bhan
 
Lowassa anaminika zaidi- ahadi chache ambazo zinatekelezeka.Lowassa akipanda jukwani anarudia ahadi zile zile hivo amejenga imani kuwa atazitekeleza.Magufuli ametoa ahadi nyingi mno hadi kutoaminika tena.
 
Sitegemei kama mtasema chema kwa Magufuri ila tunawasifu mwendelee kukenua hapa, mtarudi hapa 25 kuomba poooo ..endeleeni na comedi zenu
 
leo ameona nguvu ya uma huyu makomeo kuanzia lindi mpaka mkuranga ukawa hoyeeee

Tumeona na jinsi Tv zenu zinavyojitahidi kutokuonesha hadhira za Magufuri ..nimeona Chn 10 na Azam nao wakafanya yaleyale ila twendeni sote hadi 25
 
attachment.php
 
CCM wana aibika huku mitaani vibaya sana. Huwezi kuamini wale CCM walio kuwa wana tukana wananchi kwa kiburi cha utawala leo hii hata usingizi hawapati kutokana na kushindwa kuwa shawishi watanzania walio wengi.
 
Tumeona na jinsi Tv zenu zinavyojitahidi kutokuonesha hadhira za Magufuri ..nimeona Chn 10 na Azam nao wakafanya yaleyale ila twendeni sote hadi 25

haa haa nimeona tbc mwanzo mwisho maghufuli kana kwanza tbc ni ya ccm tu....
 
Lowassa anaminika zaidi- ahadi chache ambazo zinatekelezeka.Lowassa akipanda jukwani anarudia ahadi zile zile hivo amejenga imani kuwa atazitekeleza.Magufuli ametoa ahadi nyingi mno hadi kutoaminika tena.

Hata Magufuli mwenyewe sasa hakumbuki alichoahidi sehemu alizopita! Ni nyingi mno na nje ya ilani! Lol.
 
Back
Top Bottom