Abdul Mohammed JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,331 Reaction score 860 Sep 21, 2015 #41 DALLAI LAMA said: Ccm ipo taabani Click to expand... Mpaka anabeba watu kutoka sehemu nyingine ujue CCM ipo hoi hata kwao kama asingebeba watu asingepata mtu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
DALLAI LAMA said: Ccm ipo taabani Click to expand... Mpaka anabeba watu kutoka sehemu nyingine ujue CCM ipo hoi hata kwao kama asingebeba watu asingepata mtu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,419 Sep 21, 2015 #42 Lizaboni said: Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao Click to expand... Hebu acheni utani jamani. Nimeona kule Whatsapp wameweka mpaka picha lakini siwezi kuamini. Ni kweli mzee alikata gogo akiwa jukwaani? Ni mgonjwa kiasi hicho? Siasa jamani siyo kuchafuana na hili halitusaidii.
Lizaboni said: Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao Click to expand... Hebu acheni utani jamani. Nimeona kule Whatsapp wameweka mpaka picha lakini siwezi kuamini. Ni kweli mzee alikata gogo akiwa jukwaani? Ni mgonjwa kiasi hicho? Siasa jamani siyo kuchafuana na hili halitusaidii.
D dennis1 Senior Member Joined Jul 30, 2015 Posts 185 Reaction score 36 Sep 21, 2015 #43 Lizaboni said: Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao Click to expand... Mkuu nawewe unasiasa zawatu ambao hawajaelimika japo kwashule yakata duuuuu!!!! Kweli mheshimiwa lowasa ajakosea ktk vipaumbele vyake Elim Elim Elim.
Lizaboni said: Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao Click to expand... Mkuu nawewe unasiasa zawatu ambao hawajaelimika japo kwashule yakata duuuuu!!!! Kweli mheshimiwa lowasa ajakosea ktk vipaumbele vyake Elim Elim Elim.
C CREOLE JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 563 Reaction score 336 Sep 21, 2015 #44 moshdar said: namwomba shetani azidi kuwapotosha fisiem waendelee hiv hiv kumtukana Rais wa tano wa Watanzania ili kuwatia hasira zaid wapiga kura. shetani hoyeeeeeeeeeeeeee Click to expand... Hooooiiiyeeeeee....
moshdar said: namwomba shetani azidi kuwapotosha fisiem waendelee hiv hiv kumtukana Rais wa tano wa Watanzania ili kuwatia hasira zaid wapiga kura. shetani hoyeeeeeeeeeeeeee Click to expand... Hooooiiiyeeeeee....
G Giambattista Vico Senior Member Joined Apr 3, 2015 Posts 106 Reaction score 24 Sep 23, 2015 #45 CREOLE said: Hooooiiiyeeeeee.... Click to expand... Hahahahahahah
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Oct 6, 2017 #46 Ocampo four said: Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015.. Click to expand... Huyu jamaa alitakiwa awe Rais
Ocampo four said: Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015.. Click to expand... Huyu jamaa alitakiwa awe Rais
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,429 Reaction score 5,469 Oct 6, 2017 #47 Super Sub Steve said: Huyu jamaa alitakiwa awe Rais Click to expand... Ni kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo.
Super Sub Steve said: Huyu jamaa alitakiwa awe Rais Click to expand... Ni kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo.
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Oct 6, 2017 #48 relis said: Ni kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo. Click to expand... Aliyechaguliwa ni janga
relis said: Ni kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo. Click to expand... Aliyechaguliwa ni janga
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Oct 6, 2017 #49 Ocampo four said: Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015.. Click to expand... Ocampo four na mtani wake mkubwa wa upande wa pili sijui wako wapi, labda wataibuka 2020 yena. Hata kimambi alikuwa mpinzani mkali sana wa Ocampo.
Ocampo four said: Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015.. Click to expand... Ocampo four na mtani wake mkubwa wa upande wa pili sijui wako wapi, labda wataibuka 2020 yena. Hata kimambi alikuwa mpinzani mkali sana wa Ocampo.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Oct 6, 2017 #50 Bavaria said: Lumumba mtajinyea mwaka huu hadi mkome. Click to expand... Teh teh teh!!
WirelessBrain JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 980 Reaction score 1,351 Oct 6, 2017 #51 ....
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Oct 6, 2017 #52 WirelessBrain said: .... Click to expand... Mpiga picha Mungu anamuona
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,056 Oct 7, 2017 #53 kidaganda said: El hana mpinzani... Hawa Sisiem ni mbwembwe tu kama wanavyojitapaga mabondia ambao mwishoni wanachezea vichapo. Click to expand... Hahahahahaaa ccm ni noma aise hii nchi akitaka kuiacha n yeye mwenyewe magufuli lakin sio upinzan
kidaganda said: El hana mpinzani... Hawa Sisiem ni mbwembwe tu kama wanavyojitapaga mabondia ambao mwishoni wanachezea vichapo. Click to expand... Hahahahahaaa ccm ni noma aise hii nchi akitaka kuiacha n yeye mwenyewe magufuli lakin sio upinzan