Evelyn Salt alisema hujielewi kwasababu umemshukuru alikuambia kwamba wadada wa jf wanapenda pochi ilotuna.
kimsingi kuona kwamba umelike post yake imetoa shaka kwa wengine kwani mwanzoni ulisema wewe unataka wa kutioka nae for lunch/dinner na stories na sio zaid ya hapo sasa unayoyaleta hapa ni kana kwamba unamawazo na hela atakazo tumia. nafkiri unapaswa umwelishe vyema akuelewe,
duh! ningekupa kampani mkka mzuri ila umri wangu unakaribia miongo 4 sasa unaona jinsi ambavyo ni bibi kwako??
istoshe mie napata kitu inaitwa contessa na govinder kumar so ningekuboa lazima.
hahhahah! mie ni kibibi wa close 40 binti niwe mie si ninge ringa kama lara 1 na Ciello??Vigezo vingine kumbe havifai, dah! Mie naamini gfsonwin ni mrembo mpaka basi! Yaani siku mtu akileta uzushi hapa gfsonwin sio mrembo naandamana peke yangu kupinga tena kwa bango kabisa "Stop this, gfsonwin is marvelous"!!!!!!!!!
hapo sawa ... all the best rafiki.
Trancend mi naamini nakidhi vigezo vyako, ila niko mbali mwee
Tutafanya mpango round nyingine mkuu Haven, umbali sio kitu. Kutoka nje ya nchi kuna flights kibao, ndani ya nchi kuna FASTJets.
kweli eeh..round nyingine tena? mi nataka round hii....mwaka mpya naplan niwe home
Kizazi cha dot com hiki...
Kwa hiyo upo wapi Haven? nipm kama hutaki kufunguka.
hee umefanyaje tena?..uko banned, kupm haiwezekani
polee lol
Asante, maana ndo nilikuwa ktk process ya pm, asa mpaka atoke huko sijui lini