Kampani

soma na ujibu vyote nlivoandika, then jibu utaliona hapo hapo

Zezeta ameniambia niwe makini kwa sababu wadada wengi wa jf siyo! Sasa sijielewi kvp kumshukuru kwa ushauri wake!
 
Hi hiiii hiiiiiiiii.. Unataka single au yeyote!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hi hiiii hiiiiiiiii.. Unataka single au yeyote!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Single, wake za watu na the likes hawana nafasi, sitaki kupewa kesi mkuu.
 
Nendeni mkazitumbue hela kwa milunch na makila kitu...halafu baadae mlete uzi hapa MMU jinsi ilivyokua...hahaha

utanisaidia kufuta machozi best, if u say yes najitosa coz i count on u
 
Mimi nipo free kabisa, lakini sina haja na kampani ya walokole. Jaribu kesho kwenye kanisa la Kakobe utapata wa kumwaga.
 
wadada nendeni ila asijitokezee mtu kuleta uzi wa YAMENITOKEA PUANI maana v2 free cku hamnaga,tena we ambae ndo kwanza kakuona cjui itakuaje. heads up,jamaa kama ni m2 wa fikra mbaya anaweza kukuona cheap utaeenda maana uzi una free free kibao,ni mtazamo 2 na nimeeka condition.
ol the best wadada
 

Mtizamo hasi, yeyote atakayenipa kampani atapenda anipe tena siku nyingine, yaani hatajutia.
 
Dada usiandike kama hakuna ulazima. Mie sijielewi?
Evelyn Salt alisema hujielewi kwasababu umemshukuru alikuambia kwamba wadada wa jf wanapenda pochi ilotuna.

kimsingi kuona kwamba umelike post yake imetoa shaka kwa wengine kwani mwanzoni ulisema wewe unataka wa kutioka nae for lunch/dinner na stories na sio zaid ya hapo sasa unayoyaleta hapa ni kana kwamba unamawazo na hela atakazo tumia. nafkiri unapaswa umwelishe vyema akuelewe,
 
Last edited by a moderator:
duh! ningekupa kampani mkka mzuri ila umri wangu unakaribia miongo 4 sasa unaona jinsi ambavyo ni bibi kwako??
istoshe mie napata kitu inaitwa contessa na govinder kumar so ningekuboa lazima.
 
mimi natafuta mdada mwenye elimu kuanzia degree moja na awe mtalaam wa taaluma za Land Survey au Geospatial science. lengo ni kubadirishana mawazo. nipo Dar.

Hahahahahahaha, unayaweza? Ciello hebu njoo huku kuna mtu anapiga mbinja huku!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…