Kampani


Style mpya za kutongoza hizi za wasomi eti kutoka nae lunch/dinner kifuatacho Guest house
 
hii nayo bahati, yani kampani nzuri huanza na watu wa karibu yake, ye hana watu wa karibu yake wenye interest chanya
Labda anataka utofauti, mtu mpya mawazo mapya na kutanua social network yake
 
umalaya tu hamna lolote,kama ni kampani tu kwanini useme mdada mzuri??????peleka ny**ge zako huko
 

kwan we huna ndg had utafte dada za wa2...
 
Wadada kazi kwenu....bahati huwa haziji mara 3

tatizo mm komba....na ninajijua kabisa....na lazima nikishalewa nipate cha longido....ila huyu kaka nimempenda....
 
kwan we huna ndg had utafte dada za wa2...

Nashindwa kukuelewa kutaka kunichagulia watu wa kutoka nao! Ndugu zangu hawapo hapa, hata wangekwepo ni lazima nitoke nao? What difference does it make? Kwa sbb ningekuwa nakaa na kushinda nao kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…