Hehehe! Mwisho wa mwezi plus hela ya likizo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mimi natafuta mdada mwenye elimu kuanzia degree moja na awe mtalaam wa taaluma za Land Survey au Geospatial science. lengo ni kubadirishana mawazo. nipo Dar.
Huna mke, gf Au Dada?
Kama unae mama, ni bora ukatoka nae huyo!
Au unalo la zaidi kwa dada zetu wa jf?
Sina mkuu
Zezeta la Town: ndio mke wangu hana!
Sawa kiongozi, Ila Kuwa makini Na dada zetu wa Jf..Wengi Net inawork wakiona pochi imetuna, Wala hawana uungwana wa kweli!
Sawa kiongozi, Ila Kuwa makini Na dada zetu wa Jf..Wengi Net inawork wakiona pochi imetuna, Wala hawana uungwana wa kweli!
Ahsante mkuu kwa ushauri
Wadada kazi kwenu....bahati huwa haziji mara 3
hii nayo bahati, yani kampani nzuri huanza na watu wa karibu yake, ye hana watu wa karibu yake wenye interest chanya