Kampani ya wikiendi

Kampani ya wikiendi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,107
Reaction score
55,524
Leo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite.

Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote humu, anaye zurura zurura humu angalau tukasikilize makelele ya walevi pamoja na kuosha osha macho.

Kama una hizo sifa na unajikubali, nyoosha mkono juu.​
 
Nipo hapa ila tupitie kanisani kwanza...
Twende kwanza tukale maisha, haya mambo ya kwenda kuwanufaisha wao na familia zao kwa sadaka zetu tuweke pembeni kwanza.​
 
Leo nimechoka choka tu, sijui kwa sababu tunaianza wkend? Nashawishika niende maeneo ya muziki muziki huku moja baridi moja moto, angalau siku ipite.

Natafuta kampani ya mrembo mkali kuliko wote humu, anaye zurura zurura humu angalau tukasikilize makelele ya walevi pamoja na kuosha osha macho.

Kama una hizo sifa na unajikubali, nyoosha mkono juu.​
Unlikebable uzi sijapenda kwnini awe mdada mrembo tu na wengine vp hapo umebagua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom