Kampala university ni chuo bora au sio chuo bora?

Lindi clinical medicine center
Masasi(mtwara) clinical medcne
Kigoma clinical medicine center
Hivi ni vyuo vizuri kweli au sio vizuri??
 
Lindi na Mtwara navijua ni vizuri ila kigoma sijafahamu...ukisoma hizo sehemu mbili hutajuta
 
Daah asante.maana nilikuwa na hofu sana.miundo mbinu yake ni rafiki au sio.I mean hospital za kufanyia field na vifaa ni bora au
 
Na kipi bora sana kati ya Lindi na mtwara.yan miundombinu yke kama hospital za kufanyia field.vifaa.walimu na mazingira.kipi kina unafuu
 
Vyote sawa ila cha mtwara kikubwa zaidi pia vyote viko mjini
 
Off coz we nenda kasome
Ukifika concentrate kwenye masomo
Sawa.nataka nijue sababu natoka mbali sana mwanza.na kidogo hali ya uchumi nyumbani so nzur sana.sasa nataka nijue mapema nisije nikashindwa kusoma vizuri kwa kutatua changamoto zingine tofauti na nilichokifuata.ntakuwa napoteza mda na pesa
 
Afu sikia mkuu vyuo karibu vyote vya serikali vinalingana usisumbuke sana kwa hilo
 
Daah asante.maana nilikuwa na hofu sana.miundo mbinu yake ni rafiki au sio.I mean hospital za kufanyia field na vifaa ni bora au
Hospital zao ni kubwa na ndo maana na kwambia ukitoka unakua vizuri ila rheory ujitume sana hawana mzaha
 
Back
Top Bottom