vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 919
- 598
Weka prospector nasi tujionee..
Sio prospector. Neno sahihi ni prospectus
Weka prospector nasi tujionee..
Hata udsm usanii
Mtoa mada je una ushahidi na unachokisema? au ni kama yale ya magazeti ya udaku wanaandika habari wanakuambia chanzo cha habari ni jirani na mpita njia?
Tukiacha suala la ada kubwa KIU ni mkombozi wa elimu ya juu Tanzania.Nitakutolea mfano,Kijana kasoma shule ya serikali ambayo ina mwalimu 1 tu wa biologia,kajitahidi kamalia f6 PCB ana EDD,kijana amefaulu anataka kuomba B Pharm,Muhimbili wanachukua wanafunzi 60,akienda CUHAS(Catholic university)wanachukua wanafunzi 15,lakini akija KIU chuo kina uwezo wa kuchukua wanafunzi 550 kwa mwaka kozi ya BPharm.
Kwa hiyo ukiangalia kwa jicho makini KIU haichukui vilaza ila wana uwezo wa kuchukua wanafunzi wengi ambapo hata Muhimbili wangeweza kuchukua BPharm wanafunzi 800 basi cutpoint ingekuwa 4.5 kama ya KIU je tungewaita Muhimbili vilaza?
Suala la KIU hakijasajiliwa na TCU sithani kama ni kweli mana nina mdogo wangu yuko pale anaingia mwaka wa pili BPharm na anamkopo.
Jaribuni kuingia website ya TCU download undergraduate admissions guidebook for higher education institute in Tz,nenda page no 70 utawakuta KIU utakuta kozi nyingine wanachukua wanafunzi 600 tena za ualimu ukiwa na EEE utaachwa kweli.
kweli mimi mwenyewe nasoma KIU. HII POST NI YA 201012 Karibuni mjionee KIU leo wameboresha.. Maktaba yao ina kompyuta kama mia moja... Lab yao ina kompyuta kama 500: Maabara yao ni ya kisasa zaidi. Jengo lao la health science sidhani kama UDSM wanayo. Nina mkopo na iko nje ya mji... Ni pana miti mizuri na sasa chuo kina Maprofessor wanne, wawili wakitolewa udsm. Maombi ya kujiunga ni kupitia TCU, NACTE. HESLB nao wanatoa mkopo. Kwa sasa kipo vizuri kwa kweli na hakitoi Phd ila Mastrs tu. Mmojawapo wa waliopata masters hapa mwaka huu ni RIDHIWANI KIKWETE. Mkuu wa chuo ni Rais Ally Hassan Mwinyi.
Nilipo mimi najiamini na competent base niliyopata chuo...
Waleteni wanaotoka udsm kwenye field tuone nani ana broad capacity of doing tasks.
Nani yuko more international, more perfect, self-confident kwenye kureason, msikariri, tena bora KIU Wako perfect kwenye language use.
MKUU SAMAHANI MIMI PIA NIMEOMBA COZI YA CLINICAL OFFICER HAPO NA YENYEWE VP IKO VIZURI HAPO