Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Msikilize mpenzi wako amekueleza ukweli anakupenda achana na maneno ya watu.kuwa na mwanamke ambae amezaa nae pembeni haimaanishi hakupendi dada yangu.nawatakia maisha mema
Natumaini alitumia kondom alipokutana na huyo mwanamke!!!.....tia akili kichwani.
mkitifuana tena?
ukitongozwa ukiona kuna mwelekeo wa kupendana kubali...
unajua ni ameambiwa vipi kuhusu iyo mimba na uyo anaekuambia atakuoa wewenimeshachunguza huyo mwanamke mwenye mimba ana mtoto mdogo na yupo kwenye process za talaka means alikua ameolewa
chasaka huyu msachaMshiki mpe no yangu aniwozap
chasaka huyu msacha
Kwema mshiki nlikua natania tu
Kondom how na umeambiwa mtu huko ana mimba?