miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
siyo unahisi.. itasaidiaokay mama nahic hii itasaidia
siyo unahisi.. itasaidiaokay mama nahic hii itasaidia
minel is the guy am talking aboutwho is minel to you?
is it you?
unaishi wapi?
Mioyo ni midanganyifu always
Hiko kimeo kinaku enjoy tu
na nna uhakika hiyo hadithi ya huyo mwanamke kuumwa moyo ni ya kutunga
kwa ufupi umeambiwa usim disturb 'the real mrs'..
wewe ushapangwa uwe mchepuko
Mioyo ni midanganyifu always
Hiko kimeo kinaku enjoy tu
na nna uhakika hiyo hadithi ya huyo mwanamke kuumwa moyo ni ya kutunga
kwa ufupi umeambiwa usim disturb 'the real mrs'..
wewe ushapangwa uwe mchepuko
pole sana. ninyi wanawake mkishapenda bwana hata mletewe/mfanyiwe nini hambadiliki. mpaka mmoja wenu aumie.minel is the guy am talking about
Moyo si mdanganyifu uwa unasema ukweli always. Akili tu hiyo, akiiweka sawa atakuwa huru
Wenzio wengi wamedanganywa na mioyo yao
we hujawahi?
The baby is innocent.. sina roho ngumuKuna kitu nakuona moyoni, ni kama unataka umwambie amforce huyo mwanamke atoe hiyo mimba..! utakuwa ni mkatili ajabu
wanawake akili zenu bana...
Sijui mmezikalia
Hayavumilie
Hahahaha
No komenti
Kutoelaana naye mwezi mmoja 2 ashabebesha mimba mwanamke mwingine huyo ni hatariiiii