Kamoja kila siku...kuna madhara yoyote

Kamoja kila siku...kuna madhara yoyote

Haina madhara yoyote isipokuwa jitahidi kufanyia maeneo tofauti tofauti, mfano, sebureni, stoo, kwenye gari, chumba cha wageni nk. Mtafurahia nyote wawili.
 
haina madhara hata mimi wakati wa enzi ilikuwa hivyo ila wife akasema ntamzeesha nikamute kdg..

alikughiribu uyo, uwez kumzeesha kwanza mwenzio mda wote wa gemu anakuwa amelala tu we ndo unaangaika, wewe ndo unajichosha uku vijijini vjana tnapeana asalama alekum maana vijana ni machachari kwa kungonoka ivo waweza kumuhamkia mdogo wako maana vjana wamechoshwa na ngono wamekuwa km wazee kwa sura na miili
 
unajuwa uteja sio mpaka uwe unatumia unga banghe au viroba...

Hata hiyo kitu unaweza kuwa teja tuu...(teja wa k$#%uma) sasa wewe kila siku dozi...kila siku dozi si ndio unakuwa addicted na siku wife akisafiri teja wa k unaanza kumla dada wa kazi...au unamla mdogo wake wife....

ushawahi kufikiria kama umefanyiwa operasheni ya hernia na hutakiwi kugonga mzigo/ngozi miezi sita si-utakufa teja wewe?

too much 4 everything is harmfull
 
Naamini kuwa huu ukumbi kuna watalamu wa kila aina na katika nyanja mbalimbali.
Mimi nina wife wangu na tuna katoto kamoja mpaka sasa kenye mwaka mmoja. Sisi lile suala la kucha kurushana roho ati kwa hofu ya kumbemenda mtoto hatukuwa nayo kabisa na mambo yalikuwa yakifanyka kama kawa. na kabla hatujapata mtoto tulikuwa unapeana dozi ya 2 hadi 3 kwa kutwa lakini kwa sasa tunagonga moja kwa kutwa...yani bila kamoja usingizi hauji kabisa...hivi hii ina madhara kiafya maana nadhani nakaribia kuwa teja na kama ni kupumzika ni zile siku ambazo shemeji/wifi yenu ankuwa ameenda angani tu vinginevyo ni dozi kwa kwenda mbele...sasa hii kitu inaweza kuniletea madhara huko mbele?
naomba msaada wenu wa kitaalamu wadau!

Hapo kwenye blue panahusika, madhara yapo umesema mlikuwa mnapeana 2 - hadi 3 mlipopata mtoto sasa mnapeana 1 tu unakoelekea sio kuzuri maaana unaelekea kwenye 0 kwa siku na hayo ndo madara yake itakuchosha.
 
Umenichekesha! Yaani robo saa ndio kumchosha bibiye? Watu tupo tofauti sana. Kweli Mungu atukuzwe kwa uumbaji wake!

Haaa ilo moja unatumia dakika ngapi? Kama dkk 1 basi piga hata vitano!! Kama robo saa mwambie akuchezeee kwanza mpaka ile linakuja ndio umuingilie lengo ni kutomchosha bibiye.
 
Some times inapendeza tu wengine tukawa wasomaji tu bila kucomment
 
eeeeh! unasema mke wetu?! lini tumeanza kumchangia? angalia yasikutokee ya temeke maana nishamuwekea ile dawa..kwa bahati mbaya dawa niliyomuwekea haikufanyi kufa...utapata cha moto mpaka watoto wako, dada zako, mama yako, shemeji zako, bibi zako maka mama mkwe wako waje kukuona live ndio natoa paswed ya kuwanasua...
Na mie, nitamuwekea tego unakua hauendi kileleni hata ukeshe una do..
 
alikughiribu uyo, uwez kumzeesha kwanza mwenzio mda wote wa gemu anakuwa amelala tu we ndo unaangaika, wewe ndo unajichosha uku vijijini vjana tnapeana asalama alekum maana vijana ni machachari kwa kungonoka ivo waweza kumuhamkia mdogo wako maana vjana wamechoshwa na ngono wamekuwa km wazee kwa sura na miili

mkuu siku hizi kwenye mapenzi wote ni viungo wachezeshaji kuna style mbalimbali hiyo ya kifo cha mende siku hizi inatumika kama mswaki tu then game ndio inaanza kama kukuna nazi, mikao yachura,popo, kangaroo, Yuotong, nk kwenye hizo yeye ndio anakuwa kiungo mchezeshaji kwa 70%
 
mh! ina maana nikiendelea na kasi hii ya moja kutwa anaweza akazeeka eeh!? mi nilidhani anaweza akazeeka iwapo vinaingia itu vya saizi mbalimbali...hata hii ya kwang tu naweza kumfanya azeeke? kwa hiyo una shauri nipunguze dozi mkuu?

hapana mkuu kuna wakati mambo yatabadilika outomatically haitawezekana tena kugonga kila siku...
kwahiyo faidi kabisa ikifika wkati huo usijilaumu
 
Mkuu nina wasiwasi ukiendelea hivyo na jinsi umri utavyokua ukisonga skruu za kiuno na mgongo zitalegea na hata hicho kimoja hutaweza...
Huyo ni mkeo haendi kokote, utaishi naye hadi kifo kitapowatenganisha...
Ngono ni tamu na ina raha yake lakini si kwa rate unayoi-execute...
Usipoangalia kiuno kitakua mdebwedo kama kia la Kondoo...save your energy
 
natosheka sana maana sifanyi kwa ile spidi ya kuku...ni spidi ya mbwa full kunasiana kwa kama lisaa lizima!

hapo sio mbaya hata waataalamu wanashauri kudu ni afya pia kwa pande zote maana kuna ezyms
zinakuwa realised kwenye bdoy hivyo inaboresha mwili. watu wasiogope kupiga vitu kwa afya. :mwaaah:
 
Mkuu nina wasiwasi ukiendelea hivyo na jinsi umri utavyokua ukisonga skruu za kiuno na mgongo zitalegea na hata hicho kimoja hutaweza...
Huyo ni mkeo haendi kokote, utaishi naye hadi kifo kitapowatenganisha...
Ngono ni tamu na ina raha yake lakini si kwa rate unayoi-execute...
Usipoangalia kiuno kitakua mdebwedo kama kia la Kondoo...save your energy
sidhani kama itatokea maana napata msosi wa kutosha hasa kutkana a vyakula fresh. sili sembe ila dona!
 
hapo hata mi nimekubalimkuu! kwa afya inasaidia sana..kwanza ni moja ya mazoezi!
hapo sio mbaya hata waataalamu wanashauri kudu ni afya pia kwa pande zote maana kuna ezyms
zinakuwa realised kwenye bdoy hivyo inaboresha mwili. watu wasiogope kupiga vitu kwa afya. :mwaaah:
 
umenchekesha kunasiana hahaa hapo mkishanasana mnaanza vistory kidogo sio, afu leka dutigite
 
sidhani kama itatokea maana napata msosi wa kutosha hasa kutkana a vyakula fresh. sili sembe ila dona!

muda ukifika wa viungo kulegea utaukumbuka ushauri wangu...we jifanye farasi tu sasa
 
Back
Top Bottom