Kamkimbia mumewe baada ya harusi

Kahawa

Maharage

Mahindi

Ngano

Soya

Alizeti

Nk......

Kahawa, mahindi, uvuvi mbambabey, dhahabu ya kutoka msumbiji inayoingia kwa magendo pale ndio uchochoro, kiufupi mbinga ina biashara kuliko songea mjini sawa na ilivo masasi kibiashara kuliko mtwara au ilivo Kasulu kibiashara kuliko kigoma mjini, au kahama ilivo safi kwa biashara kuliko shinyanga,
 
Nakumbuka sana pisi za songea na mbinga zinaendajiuza mbeya na chunya halafu za mtwara, kilwa, lindi, iringa, njombe zinapishana mbinga, hivi mwanangu mmoja anaitwa dokela bado yupo? Jimama la mbinga na la mjini kwelikweli
Kweli wadada was mbinga,songea wanaenda jiuza mbeya, Hilo jimama hata silijui.
 
Kweli kabisa
 
Hii dhambi itamtafuna huyo binti, Karma itampa haki yake.
 
Huyo kijana nae ni mjinga pro max unabadili vp dini kumfuata mwanamke?
 
Ndiyo hivyo,inasemekana anatumia nyota za wadada,akikudaka atakutumia ukiisha anakubwaga,coz mtaani hapa wapo aliotoka nao na walikuwa wanatamba balaa,lakini Sasa wapo tu hawana mauzo.
Na bado hamjifunzi kupitia wenzenu[emoji2]
 
Inastaajabisha sana, n ukwel kwamba akl ya mwanadamu hujikita sana kwenye ubinafsi wa akili na roho.

Some of people above, mumejikita sana kwenye suala lake la kubadl dini tu.

Tulipaswa zaid tujkite katika kipengele cha "Kupigwa sindano ya sumu", inasikitisha sana kwa kwel. Binafsi nampa pole mlengwa na kama tujuavyo yakuwa "MAPENZI HAYALAZIMISHWI" .

Tatizo kubwa tunapenda kujaribu ili tuone matokeo, badala ya kuepuka matokeo kabla ya kujaribu.
 
🤣🤣🤣🏃🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…