Kamkimbia mumewe baada ya harusi

Wajinga wapogo siku zote. Unaachaje dini yako ukafuate ya mwanamke. Unajitutumua nn kuoa wakati dem hana muelekeo unaoenda ww lazima akuache na mwanamke asietaka kuolewa anajulikana vizuri tu ukilazimisha majanga yakija hayakwepeki. Hayo mambo ya sindano ya sumu kama vp afe tu hakustahili kuwa mwanaume hana misimamo yake huyo
 
Inaonekana binti alimpenda jibaba,Ila huyo binti angeondoka tuu sio mpaka wamchome sindano ya sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…