Kamishna Wa Magereza, Casmir Minja Aandika Barua Ya Kujiuzulu, Rais Aridhia

IMG_20161202_173847.jpg
 
Kitendo cha Wanajeshi wa Magereza kununua Uniform za Jeshi kutoka ktk Maduka ya Maafisa wa Jeshi la Magereza kwa Rais kulalamikiwa na Askari wenyewe mbele ya Mkuu wa Jeshi la Magereza hakikuwa salama kwake kama Utendaji Mkuu.

Amechukua uamuzi mzuri wa kujitoa mapema ktk utawala
 
hahahahah! mwaka wa njaa huu, mvua zimekataa na mkuu kasema magereza na wafungwa wamenyeke

kwa njaa hii ya mwaka huu bora kujivua lawama.
 
Back
Top Bottom