kamera mzuri inahitajika

kamera mzuri inahitajika

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
147
Reaction score
46
nahitaji kamera full ikiwa na mashine ya kutengeneza picha pamoja na passport nitafute leo hii kwa post au pm
 
nna kamera nzuri kaka sony ya kisasa ina wi-fi pamoja na application zote za kisasa ina uwezo wa kuvuta myu/kitu klicho umbali hata wa kilomita m5 na kikaonekana clear nitafute tufanye biashara
 
nna kamera nzuri kaka sony ya kisasa ina wi-fi pamoja na application zote za kisasa ina uwezo wa kuvuta myu/kitu klicho umbali hata wa kilomita m5 na kikaonekana clear nitafute tufanye biashara
Tupia kapicha na bei iweke hadharani wateja wengi sheikh
 
Back
Top Bottom