Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
sisi uesi ei tunasubir mmoja wetu afwe tupate kisingizio ili tukianza kutwanga ni dak 20 tu waswali suna wote haera madukani
muulize akujibuKwa ni American huko Syria kwenye Ardhi ya watu unatafuta ...?
Military base za US hata Africa zipo lakini haina maana hizo nchi ni majimbo ya Us au ziko colonized.Kwahiyo siku hizi Syiria ni jimbo la Marekani sio?
Duuuuh!!! Mkuu tupo 2023.uwe unaangalia na reputation ya source ya report?? huyo jamaa huwa anaropoka ropoka tu twitter!! Siyo media hyo unawezaje kuleta habar kwa kuangalia mtu binafsi kajiropokea…. hana media, hana chombo cha habar afu una mquote
Wewe kula makande ujsmbe ulale, uwepo wao Syria, Wasyria wanajua kwani hawajawahi kulalamika kuwa wamevamiwa na UsKwa ni American huko Syria kwenye Ardhi ya watu unatafuta ...?
Pole sanaNgoja waislamu wauawe
Wamevamia miaka 75 iliopitaWavamizi wamevamia lini?
Zipo kwa idhini ya serikali za nchi husika sasa Marekani ipo Syiria kwa Idhini ya nani?Military base za US hata Africa zipo lakini haina maana hizo nchi ni majimbo ya Us au ziko colonized.
Hata Urusi ana Military base nchi nyingi tofauti na nchi yake
Marekani anatafuta nini Syria?Syria wanachokoza Moto watapelekewa Moto asife mmarekani tu
Swali muhimu sana hiliZipo kwa idhini ya serikali za nchi husika sasa Marekani ipo Syiria kwa Idhini ya nani?
Wasichukue nchi ya Marekani au? Maana rais wa Syria hataki jeshi la marekani liwepo nchini kwake.Wanajaribu kuzuia ISS wasichukue nchi.
Leo ni Thursday au sijaelewa lugha ya wageni?military base in southern Syria where U.S. troops have maintained a presence to train forces as part of a broad campaign against the Islamic State group was attacked by drones on Thursday, two U.S. officials told The Associated Press.
Aise kwa hiyo we mmakonde unaumia kuona Marekani anashambuliwa ndani ya Nchi ya watu anayokaa kimabavuSyria wanachokoza Moto watapelekewa Moto asife mmarekani tu
Ndio Mimi Mmakonde naona poa tu kwani yeye ndio Kaka Mkubwa wa Dunia,Aise kwa hiyo we mmakonde unaumia kuona Marekani anashambuliwa ndani ya Nchi ya watu anayokaa kimabavu
Hawa ndio Wanamgambo wenuNdio Mimi Mmakonde naona poa tu kwani yeye ndio Kaka Mkubwa wa Dunia,
1950sWavamizi wamevamia lini?
Ananyonya mafuta tangu ISIS wamechukua Hilo eneo,Kisha wakaweka kambi zao kuzunguka eneo la mafutaKwa ni American huko Syria kwenye Ardhi ya watu unatafuta ...?
Kwa ni American huko Syria kwenye Ardhi ya watu unatafuta ...?
Hawa ndio Wanamgambo wenu View attachment 2791036