lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Wanachokozaje moto wakati USA ndio wamevamia ardhi ya Syria?Syria wanachokoza Moto watapelekewa Moto asife mmarekani tu
Wanachokozaje moto wakati USA ndio wamevamia ardhi ya Syria?Syria wanachokoza Moto watapelekewa Moto asife mmarekani tu
Mbona Walishindwa kufanya hivyo Afghanistan kama USA ni wakali kama unavyosema?sisi uesi ei tunasubir mmoja wetu afwe tupate kisingizio ili tukianza kutwanga ni dak 20 tu waswali suna wote haera madukani
Nchi gani?Wanajaribu kuzuia ISS wasichukue nchi.
waliweka kibabe kwa kisingizio cha kuwasaidia waasi waliokuwa wakipambana kumtoa Al Asad. baadaye wakabadili gia kwamba wanaisaidia Serikali ya Syria isipinduliwe na ISIS. Lengo lao kupora mafuta.Mkuu lkn ninavyofafamu Mimi kambi zote za nchi moja ndani ya nchi nyingine zipo kwa idhini ya hiyo nchi mwenyeji.
Je USA nchini Syria amepewa indhini na Syria?
USA hanaga biashara ya hasara kuna kitu hapoMbona Walishindwa kufanya hivyo Afghanistan kama USA ni wakali kama unavyosema?
Marekani ikianza kujibu msije mkalialia kama mnavyowalilia magaidi ya Hamas pale Gaza.
Na mnajua kabisa Marekani huwa hana shughuli ndogo kama ilivyo kwa mdogo wake Israeli
Sahihi kabisa.waliweka kibabe kwa kisingizio cha kuwasaidia waasi waliokuwa wakipambana kumtoa Al Asad. baadaye wakabadili gia kwamba wanaisaidia Serikali ya Syria isipinduliwe na ISIS. Lengo lao kupora mafuta.
Sio kweli.Marekani ikianza kujibu msije mkalialia kama mnavyowalilia magaidi ya Hamas pale Gaza.
Na mnajua kabisa Marekani huwa hana shughuli ndogo kama ilivyo kwa mdogo wake Israeli
Tusitetete dhuluma.usa hapo anaishi kiuonevu.USA hanaga biashara ya hasara kuna kitu hapo
Marekani ndio ISS hivi bado kuna watu wanaamini propaganda za Marekani na Al Qaeda?Wanajaribu kuzuia ISS wasichukue nchi.
Hakuwepo na Ihefu?Au Mbarali mbali?Aziz Key
Tunatwanga tu iwe wizi isiwe wizi, wameshindwa kuongea kidiplomasia mpaka waanze kushambulia hovyoo?? Vihamas vilijifanya vikomando viliuwa walinzi na kuanza kuchinja watu hovyo kilicho wakuta ndo hicho Moto tu.Tusitetete dhuluma.usa hapo anaishi kiuonevu.
Kwenye ukweli tuseme ukweli,tusisisfie wizi.anachofanya USA hapo ni wizi kama wizi mwingine tu
Ya kwamba kenya aende tanga aweke kambi zake za kijeshi kibabe alafu sisi tuende kuwapigia magoti tuwa bembeleze kuwaomba waondoke?Tunatwanga tu iwe wizi isiwe wizi, wameshindwa kuongea kidiplomasia mpaka waanze kushambulia hovyoo?? Vihamas vilijifanya vikomando viliuwa walinzi na kuanza kuchinja watu hovyo kilicho wakuta ndo hicho Moto tu.
hata sisi hi bandari ipo siku tutatwangana na mtu😂😂
Nimetoa angalizo tu sasa hasira ya nini mkuu?!Ww shoga vita sio rahisi kama unavyo chamba kundu lako unapo maliza kunya kwenye hicho choo chenu cha mabua ,na ndio maana mpaka sasa Israel bado anajinyea nyea kuingia gaza amebaki kuonesha umwamba kwa kuua watoto na wanawake.
uwe unaangalia na reputation ya source ya report?? huyo jamaa huwa anaropoka ropoka tu twitter!! Siyo media hyo unawezaje kuleta habar kwa kuangalia mtu binafsi kajiropokea…. hana media, hana chombo cha habar afu una mquote