Kambi ya mafunzo kwa vijana wa vyuo CCM yamalizika Hombolo, wamuunga mkono rais Magufuli

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
KAMBI YA MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO MKOANI DODOMA, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS DK. MAGUFULI

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizindua ujenzi wa Ofisi ya CCM Tawi la Vyuo na Vyuo Vikuu Hombolo baada ya kumalizika Kambi ya mafunzo kwa vijana wa vyuo hivyo katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.

Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu Umoja wa Vijana wa CCM Daniel Zenda, akizungumza baada ya kumalizika Kambi ya mafunzo kwa vijana wa vyuo hivyo katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.
3.jpg

Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa ukumbini wakati wa ufungaji wa kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi
4.jpg

Vijana walioshiriki Kambi ya mafunzo kwa Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM, wakiwa katika mazoezi siku ya kumalizika kambi na mafunzo hayo Hombolo mkoani Dodoma, juzi
5.jpg

Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza wakati ikifungwa Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma, juzi.
6.jpg

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akizungumza wakati akifungua Kambi ya mafunzo kwa vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu CCM katika eneo hilo la Hombolo mkoani Dodoma,
 
Sisi inatuhusu nini?? Craap
 
Kama wamemaliza mafunzo tunaomba wapelekwe Kibiti wakadhibiti hali ya mambo,au ni mafunzo ya kuiba kura na rambirambi?
 
Back
Top Bottom