Arusha Leo
Senior Member
- Mar 12, 2012
- 120
- 72
Huyo Dr Harold Adamson amesomea political science? Kwa nini asitumie elimu kubwa aliyonayo kujenga nchi kupitia fani yake badala ya kukimbilia kwenye majukwa ya siasa?
HATIMAYE Kambi
mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika
kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa
Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka mshindi baada ya Robinson
Meitinyiku kushinda kwa kura 247 dhidi ya Dr Harold Adamson aliyepata
kura 188.
Naomba mchanganuo kuhusu makambi. Tuna makambi mangapi?
1. Kambi ya Lowasa
2-------
HATIMAYE Kambi mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka mshindi baada ya Robinson Meitinyiku kushinda kwa kura 247 dhidi ya Dr Harold Adamson aliyepata kura 188.
Huyo Dr Harold Adamson amesomea political science? Kwa nini asitumie elimu kubwa aliyonayo kujenga nchi kupitia fani yake badala ya kukimbilia kwenye majukwa ya siasa?....
Mary Chatanda yuko kambi gani?
Kambi zipo nyingi lakini kwa sasa kambi kuu ni tatu tu, zingine ni sub-kambi ya hizi tatu (zipo Oppotunistic) na kadri siku zinavyokwenda zinanywea na kufungamana na hizi tatu. Kambi hizo kuu tatu ni;Naomba mchanganuo kuhusu makambi. Tuna makambi mangapi?
1. Kambi ya Lowasa
2-------
Yupo kambi ya ZILIPENDWA(Sitta Group) yupo bega kwa bega na Ole Sendeka.Mary Chatanda yuko kambi gani?