Ubunge UVCCM Arusha rushwa tupu pesa na ngono

nyamadoke75

Member
Apr 1, 2020
86
280
Uchaguzi Uvccm viti maalum mkoa wa Arusha Rushwa na Vigogo waingilia kati.

Wakati majereha ya kura za maoni zikiwa mbichi kwenye chaguzi za kura za maoni majimbo ya Arusha na Viti maalum UWT Arusha,
Rushwa na majina ya vigogo waanza kupanga safu ya ushindi Uvccm viti maalum.

Mmoja wa mgombea wa nafasi hiyo Bi Lulu ambaye hivi karibuni adakwa na TAKUKURU Zanznibar na kusimamishwa uongozi na hatimaye kusafishwa na uongozi wa Uvccm Taifa kwa madai kuwa ni maelekezo toka juu kwani ni mke mdogo mh mbunge Aishi Hilary

nimeongeza dau ya rushwa kwa round hii ,ambapo kwa sasa anahonga 150,000 hadi laki mbili kwa kila mjumbe wa mkoa Uvccm ambao wanakadiriwa ni kati ya 40 hadi 42 kwa mkoa wa Arusha.

Hata hivyo TAKUKURU wameshindwa kuendelea kumfuatilia kwani habari za ndani zinasema walishatimiza wajibu wao lakini chama na wakubwa wanamlinda na kumsafisha hivyo hawaoni sababu ya kuendelea kuharibu raslimali zao na kazi zao.

Katika hatua nyingine Bi Tezra anadaiwa kubebwa na uongozi wa Uvccm wilaya ya Arusha baada ya kuitwa Dar na Mh Mwigulu Mchemba ambaye amewapa maelekezo kuwa wahakikishe anashinda na kuwa wa kwanza.

Hivyo kinacho ongea sasa ni pesa na madaraka kupitisha wapendwa wao,Mmoja wa wajumbe amesema kama hali ndio hivi wala haoni sababu ya kwenda kupiga kura kwani hata wakimpitisha wanaymtaka huko juu hawaoni mwanya maana kama wanaotetetewa tangu mwanzo huku chini basi na kitaifa watapeta maana hakuna mjumbe anawajibika vikao vya juu.

Arusha tena yetu macho Rushwa ya pesa na kutumia madaraka kupitisha wapendwa wao ndio Dira kwa sasa

Yaani mpaka sasa Uvccm uwongozi una mgombea wake hadi wanatukanana katika magroup ya wassap kwa kushindana kila mmoja kwa kushirikiana na wajumbe anampitisha mgombea wake kushinda ubunge wa viti maalum kupitia vijana

Arusha mpaka sasa Uvccm ni rushwa ya pesa na ngono huku uwongozi wa Mkoa ukijitapa kupitisha wagombea wenye pesa na uwezo mkubwa wa kusaidia vijana .

Baadhi ya wagombea wameshauriana kuachia mbali kuto kushiriki uchaguzi huo kwani ni batili na rushwa kuchukua nafasi kubwa
Screenshot_20200725-130852.jpg
IMG-20200725-WA0002.jpg
1150207705.jpg
 
Mkuu hyo picha ya kwanza unayonyingine ambayo amepiga kwa nyuma maana huwa hawaaminiki hawa shombe shombe unaweza kuta n flat screen
 
Back
Top Bottom