OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
wadau!
Sasa nimeamini aliyesemaga siasa ni mchezo mchafu hakukosea,
wengi wetu mliona matukio ya jana bungeni samweli sitta amekuwa akienda na kumpa mh lowassa mkono na kumkumbatia,kama mnavyojuwa jambo hili si la kawaida kwani kambi hiz mbili zimekuwa zikisiginana kila kukicha,sasa tunajiuliza hiz kambi ndio tayari zimeungna au mchezo mchafu umechezwa hapa!!
Nimebaki njia panda cielewi mwelekeo!!pasco nipe mwongozo kwa hili