MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 157
cdm ni cha mapadri na wachungaji? cc padri slaa,israel natse,mch msigwa et al
Usimsahau, Mchungaji Lwakatare, Mchungaji Mwanjala, Mchungaji Asumpta Mshama, wote hawa ni wa CCM...
cdm ni cha mapadri na wachungaji? cc padri slaa,israel natse,mch msigwa et al
Na CHADEMA ni nini kwa CCM?
Kwa hiyo CCM ni chama cha kidini kinaongozwa na wakatoliki au nakosea
MM hahitaji kukodiwa vijana. Ni kijana anayekubalika na watu wa rika lote
Mkurugenzi wa habari, uenezi na haki za binadamu wa chama cha wananchi (CUF). Amekinanga chama cha mapinduzi kuwa kinaongozwa kwa mawazo mgando na nguvu za viongozi wa dini....
Kambaya aliyasema hayo kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya magomeni katika viwanja vya shule ya msingi majengo, Bagamoyo.... Alisema:
"CCM inaongozwa na mawazo ya Nyerere ambayo kila mmoja anajua yanatoka wapi... Mpaka sasa kiongozi wa dini mwenye ujasiri wa kutetea haya ni Kardinali Pengo - ambaye bila kupepesa macho amesema anataka serikali 2... Haya ni mawazo ya kanisa katoliki..." Haya ndiyo mawazo yanayoongoza CCM...
Aliendelea:
"Chama Chetu (CUF) kinapendekeza serikali tatu, tofauti na vyama vingine visivyo na msimamo.. Kipo chama kimoja kinaibuka na serikali za majimbo na muda mwingine serikali tatu... Hiki si cha kukiamini." Akangeukia Nape ambaye siku moja kabla alizindua kampeni za CCM na kuishambulia CUF bila staha... akimsema maalimu Seif njaa imempeleka kwenye serikali ya mseto.
Alisema:
"Nape si mtoto wa mzee Moses au Musa Nnauye... Kwenye orodha ya watoto wa mzee MuSa NNauye hayumo na tena hatambuliki.
Naibu katibu mkuu (BARA) Julius Mtatiro aliizungumzia wilaya ya Bagamoyo kulemewa na walaji... Pesa zinaibiwa na kuliwa utadhani hii si wilaya anakotoka mkuu wa nchi. Alitoa vielelezo vingi na kushitua wakazi wa Bagamoyo.
Source: Mimi mwenyewe nilikuwepo.
Do you have a brain on the thing you are carrying up there?Kwa mawazo ya CUF, sawa. Ila kwa mawazo ya CHADEMA ni kuwa CCM ni chama cha waislam. Kutokana na mkanganyiko huo, ni wazi kuwa CCM ni chama cha kika mmoja wetu
Hujakosea mkuu, ni sahihi kabisa. Kinajitahidi kujivua lakini mizizi aliyoiweka Julius Kambarage Nyerere ni ya nguvu sana. Itachukua muda kujivua huko na pengine haitawezekana.
Mbinu kuu ya Kanisa Katoliki ya kuitisha CCM pale ilipojidai kujitoa huko, ni pale Kanisa lilipoanzisha CHAMA KINGINE CHA KIKRISTO kwa jina na "CHADEMA au CDM kama ukipenda."
Kwa wale wake wenza wanajua nini kitatokea hapo, ni kujipeleka peleka kwa mume tu kila kukicha.
Mume- Kanisa katoliki
Bi mkubwa- CCM.
Bi mdogo- CHADEMA a.k.a CDM.
Simshangai kambaya maana haya ni mawazo ya waislamu wengi kuwa nchi hii inaongozwa na Pengo. Nilishamsikia professor na PhD mwingine akisema kabisa nchi hii haipati maendeleo kwakuwa inaongozwa na Pengo
mkuu umenichekesha. Dah!Kwa mawazo ya CUF, sawa. Ila kwa mawazo ya CHADEMA ni kuwa CCM ni chama cha waislam. Kutokana na mkanganyiko huo, ni wazi kuwa CCM ni chama cha kika mmoja wetu
Kwa mujibu wa Kambaya, CCM ni chama cha wakatoliki. - Catholic Church Development Manifesto - CCM.Kwa hiyo CCM ni chama cha kidini kinaongozwa na wakatoliki au nakosea
Mkuu, kwa kambaya adui wa wananchi ni Nape na Pengo... Maendeleo si jambo la msingi.Badala ya kueleza sera za chama chako unaeleza mambo binafsi ya Nape. yatawasaidia nini Wananchi wa Magomeni
Hawa si wakujibishana nao MAKATONTA, likisemwa kanisa kuhusu CCM wanakasirika, wengi wa wafuasi wa Chadema ni wanachama wa CCM, wapo Chadema kwa sababu tu chuki za udini ya kumchukia kikwete kwa kuwa ni MUISLAM lakini 2015 wakiwekewa mkatoliki watarudi CCM
Kwa hiyo CCM ni chama cha kidini kinaongozwa na wakatoliki au nakosea