MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 295
- 679
Mkurugenzi wa Habari wa chama cha CUF, Abdul Kambaya, amecharuka kuhusu kauli ya viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo wakidai kuwa mwaka 2020 kwa upande wa Zanzibar ndio watakuwa wapinzani wakuu. Amvaa Maalim Seif, na kudai kuwa "Kama kigezo uchaguzi Maalim hatakiwi Zanzibar"