Kambaya aiponda ACT-Wazalendo/ Amvaa Maalim Seif

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Mkurugenzi wa Habari wa chama cha CUF, Abdul Kambaya, amecharuka kuhusu kauli ya viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo wakidai kuwa mwaka 2020 kwa upande wa Zanzibar ndio watakuwa wapinzani wakuu. Amvaa Maalim Seif, na kudai kuwa "Kama kigezo uchaguzi Maalim hatakiwi Zanzibar"
AC.jpeg
 
Mkurugenzi wa Habari wa chama cha CUF, Abdul Kambaya, amecharuka kuhusu kauli ya viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo wakidai kuwa mwaka 2020 kwa upande wa Zanzibar ndio watakuwa wapinzani wakuu. Amvaa Maalim Seif, na kudai kuwa "Kama kigezo uchaguzi Maalim hatakiwi Zanzibar"View attachment 1220113
Kambaya amevurugwa na radhi ya wazazi wake na anaponzwa na huyu
FB_IMG_1493312084620.jpeg
 
hakuna cha upinzani wala ushindani wote njaa tu,magufuli anatosha kwa sasa but nae mwisho wake ni two term, akianzakusema anaongeza hapo atatuuzi hata sisi tusiokuwa na ushabiki wa chama
 
Na mimi nkubali kabisa maana tangu aingie madarakani; Dawa kibao hospitalini, Deni la Taifa limekwisha, Mafisadi wamefungwa wote maisha, Watoto wa maskini wote wanapata Elimu bora, Wananchi anaekula mlo mmoja anapenda mwenyewe, Bei ya umeme ipo chini, Tatizo la maji nchini sasa ni historia, Utawala wa sheria hadi nchi za ulaya zinajifunza kwetu, Mishahara juu kila mwaka kwa watumishi na mengine meeengi ama kweli huyu ndo tumeletewa na Mungi tudichezee bahati
 
Unaserikali na umefanya kinachoonekana but you feel uncomfortable. Unaogopa nini
 
Mkurugenzi wa Habari wa chama cha CUF, Abdul Kambaya, amecharuka kuhusu kauli ya viongozi wa chama cha ACT-Wazalendo wakidai kuwa mwaka 2020 kwa upande wa Zanzibar ndio watakuwa wapinzani wakuu. Amvaa Maalim Seif, na kudai kuwa "Kama kigezo uchaguzi Maalim hatakiwi Zanzibar"View attachment 1220113
Muuza genge Tandale sokoni ambaye amefahamika kutokana na kuwa mganga wa kienyeji wa Lipumba
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom