Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,110
- 18,328
Kutokana na matumizi mabaya ya vyombo vya ulinzi na usalama na chama cha mapinduzi.. kuna haja ya kupeleka mswada Bungeni ili Kamati za ulinzi na usalama ziundwe na vyombo vya ulinzi na usalama tuu.
Kwa maana ya
1. JWTZ
2. Police
3. Magereza
4. Uhamiaji
5.Tiss
6. Mgambo
Ili wote wanao weka nchi kwenye wasiwasi wa usalama wakamatwe kwa mujibu wa sheria.
Hawa wakuu wa mikoa , wabakie kuwa wenyeviti wa ccm na wasilipwe na serikali.