Anahudumu kama mwenyekiti au mjumbe?Leo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-
Zitto Kabwe
28 mins ·
Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee
Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
Watapambana vipi wakati wote ni wa mlengo mmoja?
Wote wanaripot kwa bosi mmoja, hawawezi kupambana.
Hapo ni mihasira kishenzi anajua kuwa maombi yake yalipigwa tekeANA MAUMIVU ILA ANAJIFARAGUA TU
Why unamsifia Zitto tu kwani kamati hiyo haina wajumbe wengine?Maana Zitto si kiongozi wa kamati ni Mjumbe wa kamati,sasa hapo kuna la ajabu kweli?kila mbunge lazima awe mjumbe wa kamati husikahongera sana mhe. zzk, nakutakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yako katika kamati ya huduma na maendeleo ya jamii. spika hakukosea. you're young, vocal, energetic, dynamic and a genious. usijibizane na mijitu yenye elimu ya hapa na pale isije ikawa tukashindwa kuona tofauti. wewe ni wa matawi ya juu. kazi njema.
MjumbeAnahudumu kama mwenyekiti au mjumbe?
Teeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh mnaliwazana machungu? Yeye alitaka uenyekiti wa pachongera sana mhe. zzk, nakutakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yako katika kamati ya huduma na maendeleo ya jamii. spika hakukosea. you're young, vocal, energetic, dynamic and a genious. usijibizane na mijitu yenye elimu ya hapa na pale isije ikawa tukashindwa kuona tofauti. wewe ni wa matawi ya juu. kazi njema.
Matawi ya juu ya mchikichi, teeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeehhongera sana mhe. zzk, nakutakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yako katika kamati ya huduma na maendeleo ya jamii. spika hakukosea. you're young, vocal, energetic, dynamic and a genious. usijibizane na mijitu yenye elimu ya hapa na pale isije ikawa tukashindwa kuona tofauti. wewe ni wa matawi ya juu. kazi njema.
Wote ripoti zao ni lumumbaWatapambana vipi wakati wote ni wa mlengo mmoja?
Wote wanaripot kwa bosi mmoja, hawawezi kupambana.
Yeye alitaka uwenyekiti wa pac, teeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeehHakika!!
Na hii kamati kwa ninavyomjua zitto ni lazima itajulikana sana hata kuvuma pia!
Mana ni kama mtoto wa haramu hata akifungiwa kwenye chupa ni lazima atatoa kidole ili mradi tu ajulikane[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kwa .namna ulivyotumia neno 'weledi' siyo mahali pake.Kijana hzo ni chuki zako binafsi,ukizungumzia siasa za Tz ukasahau kumtupiamo Zitto zuberi Kabwe Ruyagwa KIGOMA,ujue huna weledi juu ya maswala ya Siasa za Tz!!!
Usaliti wake ni upi?kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA ? acheni kufuata upepo banaTatizo Lake undumilakuwili na usaliti.
Soon atasaulika.
Ni msaliti tatizo wewe huelewi maana ya usaliti. Usaliti ni kwenda kinyume na mwelekeo uliokubaliwa. Zito anataka mwelekeo wake au ule unaoongozwa toka CCMUsaliti wake ni upi?kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA ? acheni kufuata upepo bana
Mkuu hata kama unamchukia Zitto tumia lugha za kiungwana.Hakika!!
Na hii kamati kwa ninavyomjua zitto ni lazima itajulikana sana hata kuvuma pia!
Mana ni kama mtoto wa haramu hata akifungiwa kwenye chupa ni lazima atatoa kidole ili mradi tu ajulikane[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]