Exactly uko sawasawa mkuuu! hapa kinachofanyika ni kupromote bifu na na kuchezea hela za walipa kodi tu.Wadau, kutokana na sarakasi zilizochezwa leo bungeni, nina wazo kwamba hatuna haja ya kuendelea kupoteza hela kwa kulipa kamati za bunge, kwa kuwa hazina impact yoyote kwa nchi.
kila jambo na wakati wake, tujipange tatizo cyo mawaziri
Comrade hata nyani kule msituni katika hali yao hawawezi kufanya ujinga kama huu wa serikali leo ukiongozwa na bwnPinda yaani Twiga,Tembo Viboko wanibwa Waziri mkuu anakaa kimya anatueleza habari ya Sensa na kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne? jamani nyani na utawala wao wanaweza fanya nujinga huu
kila jambo na wakati wake, tujipange tatizo cyo mawaziri
Serikali ya kishkaji ya kikwete.mwizi ana haki,mwema/ MKOSOAJI anafuatiliwa na TISS,ila 2na hasira na nampongeza Jk kusaidia kuizika ccm.
kila jambo na wakati wake, tujipange tatizo cyo mawaziri
Mimi ninafikiri kwamba hakuna haja ya kuwa na Bunge.
Nipeni japo mfano mmoja tu wa maazimio ya Bunge ambayo yalishawahi kutekelezwa na serikali.
Bunge tulilonalo sasa hivi, ni baya sana kuliko hata Bunge la Mfumo wa Chama Kimoja. Hatuwezi kutoka kwenye hili tope mpaka dominance ya chama kimoja itakapokuja kuisha.
Let us pray that hii 75% ya CCM ipungue hapo 2015.