Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,752
- 218,339
AsanteHongereni sana kanda ya Nyasa
Mikakati ya zamani ilikuwa ya kitoto?Mkakati wa sasa si wa kitoto .
Mikakati ya zamani ilikuwa ya kitoto?
Umetoa taarifa kamilifu sana!Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa
Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii
Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .
View attachment 1983704
Mungu ibariki Chadema
Mungu awaongezee nguvu na maisha marefu mzidi kuifyatua ccm.Labda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa
Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii
Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .
View attachment 1983704
Mungu ibariki Chadema
Chadema itadumu kwa nguvu za Mungu.Mkakati wa sasa si wa kitoto .
Wewe unasemaje kwani?Mikakati ya zamani ilikuwa ya kitoto?
Kweli maana Hamza alikuwa ni mwana cdm.Lichama la kigaidi.
Hata ukisema hivyo haitaondoa ukweli kuwa wana Mbeya hawaipendi ccm.Nilikuwa sijui aisee kumbe wewe ndo rose mayemba
Pia usisahau kuwa nguvu yako pia inahitajika ili kuiondoa ccm madarakani.Umetoa taarifa kamilifu sana!
Lakini sijasahau. Uliniangusha tu ulipoingia mitini 2020, baada ya kutangaza kuwa na nia. Nikasubiri kusikia/kuona wapi? Sijui ilikuwakuwaje, maanake hata mrejesho hatukuupata nini nini kilitokea!
Hapo kwenye picha inaonekana timu kabambe. Acheni tu woga, CCM hawana tena ubavu baada ya polisi na nyenzo nyingine wanazotumia kuwaweka madarakani kwa nguvu kudhibitiwa. Hakuna njia, ni lazima wataachia tu, maana ulaghai na uongo watakaoendelea kuuza ili kuwahadaa wananchi hautafanya kazi tena.
Kuweni tayari kuwadhibiti kwenye maeneo hayo, ya uongo na ulaghai kwa wananchi.
Kila la Kheri MajembeLabda kwa kuwafichulia siri , mimi ni miongoni mwa wazaliwa wa Kanda hii Kabambe , natokea kijiji cha Kajunjumele Wilaya ya Kyela , ni miongoni mwa wadau kadhaa waliochangia kuifuta ccm Kyela , wengine ni Japhet Mwakasumi sasa Marehemu, japo baadaye aliunga juhudi , ila demage aliyoisababishia ccm kyela haikuweza kufutika , Mzee Kasyupa Alipipi aliyewahi kuwa mbunge wa ccm na Waziri mdogo wa kilimo , mwingine ni Mwanyamaki aliyemshinda Mwakyembe na kuporwa ushindi na polisi kwenye uchaguzi wa 2015 , Alinanuswe Mwalwange na King Spoiller Mwaipopo au Gogodo , huyu ni kijana wa mjini aliyesaidia sana vijana wengi wa Kyela kuidharau ccm , idadi ya walioua ccm kyela ni ndefu sana siwezi kuimaliza kuandika hapa
Kwahiyo basi kanda hii inanihusu hasa na ndio maana huwa naguswa na kila jambo la chadema linalofanyika kwenye kanda hii
Leo Mwenyekiti Msigwa ameongoza kikao cha Kamati ya utendaji ili kupanga mikakati kadhaa katika eneo ambalo sitalitaja .
View attachment 1983704
Mungu ibariki Chadema